Lugha za Kirumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza rm:Linguas romanas
Mstari 21:
* [[Kikatalonia]] (català) ([[Hispania]], [[Ufaransa]] ya Kusini, [[Andorra]] na kwenye visiwa kadhaa za Mediteranea) - wasemaji 8,200,000
* [[Kigalicia]] (galego) (Hispania, jimbo la [[Galicia]]) - wasemaji 3,000,000
* [[Kiliguria]] (lìgure) (Italia ya Kaskazini: mikoa ya [[Liguria]], [[Piemonte]] na [[Sardegna]])
* [[Kioksitania]] (occitan) (kusini ya Ufaransa, milima ya [[Italia]] ya Kaskazini-Magharibi na bonde la Aran la Hispania)- wasemaji 2,800,000
* [[Kifriuli]] (furlan) (Italia Kaskazini-Mashariki: mkoa wa [[Friuli]]) - wasemaji 350,000