Charles Darwin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza or:ଚାର୍ଲସ ଡାରଉଇନ
No edit summary
Mstari 12:
Alizaliwa mjini [[Shrewsbury]] (Uingereza) kama mtoto wa tano wa daktari Robert Darwin na Susannah Darwin (née Wedgwood). Baada ya kumaliza shule alijiunga na chuo kikuu cha [[Edinburgh]] ([[Uskoti]]) 1825 akajiandikisha katika idara ya [[tiba]] lakini hakupenda [[upasuaji]]. Alitumia muda mwngi kufuata kozi za [[biolojia]], [[jiografia]] na [[jiolojia]] nje ya masomo ya tiba. Alifuatana mara nyingi na wataalamu walipofanya uchunguzi wa wanyama, mimea au mawe.
 
Baba baada ya kuona hafai kuwa daktari alimwandikisha katika masomo ya [[teolojia(dini]] kwa shabaha ya kuwa mchungaji wa [[kanisa la kianglikana]] aliyomaliza mwaka [[1831]].
 
== Safari ya [[MS Beagle]] ==