Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
{{Babel|sw|en-3|user-ke|user-lives-nrb|user-most-edit|user-wiki-member|Mail|Tarehe|Furaha|Mstarabu|Penda|Fasaha}}
 
Jina langu ni Neville Tirimba na mimi ni mkaazi wa Ngong Hills, Mkoa wa Bonde la Ufa, KenyaMkenya. Mimi ni mwanafunzi wa somo la sheria katika Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Cha Afrika ya Mashariki (Catholic University of Eastern Africa). Kijiji cha Ngong Hills kinapatikana takriban kilomita arubaine hivi toka mji mkuu wa Nairobi. Sijaoa, sina watoto lakini natumai nitabarikiwa wakati ufaao utakapotimia. Ninaishi pamoja na wazazi wangu na kaka zangu. Mimi hupenda kusomaNapenda fasihi, kutazama filamu mbalimbali (isipokuwa filamu za kutisha) na kupiga picha. Mimi pia hupenda kuyaandika makala mbalimbali kuhusu maswala ya jamii hasa matatizo yanayoikumba nchi ya kenya: [http://www.zileziarazangu.blogspot.com]kijamii. Ninaamini kuwa mpango wa Wikipedia wa kuyatafsiri makala utasaidia kuimarisha na kuendelezakuikuza lugha ya Kiswahili vilivyo, kwa njia muhimu isiyoweza kukadirika kwa sasa.