Charles Darwin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Charles Darwin by G. Richmond.jpg|thumb|right|Charles Darwin kijana]]
 
'''Charles Robert Darwin''' ([[12 Februari]] [[1809]] - [[19 Aprili]] [[1882]]) alikuwa [[mwanasayansi]] [[Uingereza|Mwingereza]] katika [[karne ya 19]].
 
Amekuwa mashuhuri kutokana na [[nadharia]] yake ya [[maendeleo ya uhai]] ([[mageuko ya spishi]]).
 
Nadharia hii yasema kuwa [[spishi]] zote za viumbehai vimetokana na spishi asilia zilizogeuka baada ya muda. Mageuko haya hufuata [[uteuzi asilia]] yaani viumbehai wanaolingana vizuri zaidi na mazingira wanaishi na kuzaa kushinda viumbehai wasiolingana nayo.
Mstari 10:
 
== Utoto na masomo ==
Alizaliwa mjini [[Shrewsbury]] (Uingereza) kama mtoto wa tano wa daktari Robert Darwin na Susannah Darwin (née Wedgwood). Baada ya kumaliza shule alijiunga na chuo kikuu cha [[Edinburgh]] ([[Uskoti]]) 1825 akajiandikisha katika idara ya [[tiba]] lakini hakupenda [[upasuaji]]. Alitumia muda mwngi kufuata kozi za [[biolojia]], [[jiografia]] na [[jiolojia]] nje ya masomo ya tiba. Alifuatana mara nyingi na wataalamu walipofanya uchunguzi wa wanyama, mimea au mawe.
 
Baada ya kumaliza [[shule]] alijiunga na [[chuo kikuu]]] cha [[Edinburgh]] ([[Uskoti]]) [[1825]] akajiandikisha katika idara ya [[tiba]] lakini hakupenda [[upasuaji]]. Alitumia muda mwngi kufuata kozi za [[biolojia]], [[jiografia]] na [[jiolojia]] nje ya masomo ya tiba. Alifuatana mara nyingi na wataalamu walipofanya uchunguzi wa wanyama, mimea au mawe.
Baba baada ya kuona hafai kuwa daktari alimwandikisha katika masomo (dini]] kwa shabaha ya kuwa mchungaji wa [[kanisa la kianglikana]] aliyomaliza mwaka [[1831]].
 
Baba baada ya kuona hafai kuwa daktari alimwandikisha katika masomo (diniya [[teolojia]] kwa shabaha ya kuwa [[mchungaji]] wa [[kanisa]] la kianglikana[[Anglikana]] aliyomaliza mwaka [[1831]].
 
== Safari ya [[MS Beagle]] ==