Masedonia : Tofauti kati ya masahihisho

2,674 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
(Masedonia umehamishwa hapa Jamhuri ya Masedonia)
 
No edit summary
[[File:Greater Macedonia.png|thumb|right|335px|Eneo la Masedonia la kihistoria limegawanyika leo hii kati ya nchi za kisasa za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]], [[Bulgaria]], [[Albania]] na [[Serbia]].]]
#REDIRECT [[Jamhuri ya Masedonia]]
[[File:Macedonia topography.svg|thumb|right|335px|Ramani ya topografia ya Masedonia]]
 
'''Masedonia''' (pia: '''Makedonia''') ni eneo la kijiografia na kihistoria kwenye rasi ya [[Balkani]] katika [[Ulaya]] kusini mashariki. Katika mwendo wa historia mipaka yake yalibadilika mara nyingi na leo hii ni takriban kilomita za mraba 67,000 zinazohesabiwa humo zinazokaliwa na watu milioni 4,7. Eneo hili limegawanyika hasa kati ya nchi za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]] na [[Bulgaria]]; maeneo madogo yamo ndani ya [[Serbia]] na [[Albania]].
 
Katika karne ya 4 KK eneo hili lilikuwa kiini cha [[ufalme wa Masedonia]] uanojulikana hasa kutokana na wafalme wake [[Filipo I]] na [[Aleksanda Mkuu]]. Wakati ule Masedonia ilihesabiwa kama sehemu ya utamaduni wa Kigiriki.
 
Baadaye makabila ya Kislavoni yalihamia hapa. Leo hii wakazi wengi wa Masedonia ya kihistoria nje ya Ugiriki wanatumia [[lugha za Kislavoni]] wakati ndani ya Masedonia ya Kigiriki wanatumia lugha ya [[Kigiriki]].
 
[[Category:Balkani]]
 
 
 
[[af:Masedonië (streek)]]
[[als:Makedonien]]
[[ang:Mæcedonia]]
[[an:Macedonia (rechión)]]
[[roa-rup:Makedonia ditu Zãmani]]
[[bn:ম্যাসেডোনিয়া]]
[[be:Македонія, зямля]]
[[bg:Македония (област)]]
[[bs:Makedonija (regija)]]
[[br:Makedonia (rannvro)]]
[[ca:Macedònia (regió)]]
[[cs:Makedonie (region)]]
[[cy:Macedonia (rhanbarth)]]
[[da:Makedonien (område)]]
[[de:Makedonien]]
[[el:Μακεδονία]]
[[en:Macedonia (region)]]
[[es:Macedonia (región)]]
[[eu:Mazedonia (eskualdea)]]
[[fr:Macédoine (région)]]
[[gl:Macedonia (rexión histórica)]]
[[ko:마케도니아 (지역)]]
[[hr:Makedonija (regija)]]
[[id:Makedonia (region)]]
[[it:Macedonia (regione storica)]]
[[ka:მაკედონია (ოლქი)]]
[[la:Macedonia (regio)]]
[[lt:Makedonijos regionas]]
[[ln:Masedoni]]
[[mk:Македонија (регион)]]
[[nl:Macedonië (regio)]]
[[ja:マケドニア]]
[[nn:Regionen Makedonia]]
[[nds:Makedonien (Region)]]
[[pl:Macedonia (kraina historyczna)]]
[[pt:Macedônia (região)]]
[[ro:Macedonia (regiune)]]
[[ru:Македония (область)]]
[[sl:Makedonija (regija)]]
[[cu:Макєдонїꙗ · страна]]
[[sr:Македонија (област)]]
[[sh:Makedonija (region)]]
[[sv:Makedonien (historisk region)]]
[[th:ภูมิภาคมาซิโดเนีย]]
[[tr:Makedonya (bölge)]]
[[uk:Македонія (історична область)]]
[[vi:Macedonia]]
[[zh:馬其頓]]