Wilaya ya Missenyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kata za Misenyi
No edit summary
Mstari 1:
'''Wilaya ya Misenyi''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Kagera]]. Ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na maeneo ya [[wilaya ya Bukoba Vijijini]].
 
Baadhi ya kata za Wilaya ya Misenyi ni Kitobo, Bwanjai, Bugadika, Bugolola, Kyaka, Bunazin, kilimilile na nyinginezo.
 
 
==Marejeo==