Fueli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza ur:ایندھن
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza be:Паліва; cosmetic changes
Mstari 1:
[[FilePicha:Buying fuelwood.jpeg|thumb|250px|Ubao ulikuwa kati fueli za kwanza za binadamu]]
'''Fueli''' ni [[dutu]] inayowaka na kutoa [[nishati]] kwa njia inayoweza kutumiwa na binadamu. Mara nyingi fueli ni kitu kinachochomwa.
 
Kwa lugha ya kawaida si kila mara kikiwaka ya kwamba kinastahili kuitwa vile: [[ubao]] ukitumiwa jikoni kama [[kuni]] ni fueli; ubao ukiwaka hovyo wakati [[msitu]] inaharibika na moto si fueli.
Mstari 6:
Lakini kwa matumizi ya kitaalamu kile kinachowaka ni [[kampaundi]] za [[kaboni]] na [[hidrojeni]] ndani ya ubao na hii ni fueli yenyewe kwa maana ya kikemia.
 
== Historia ==
Kati ya fueli za kwanza za historia ni [[ubao]] inayotumiwa kama [[kuni]]. Baadaye watu waligundua njia ya kubadilisha kuni kuwa [[makaa ya ubao]] inayotunza nishati ndani ya kuni lakini ni nyepesi na kuchukua nafasi ndogo.
 
Baadaye watu waligundua ya kwamba [[mafuta]] mbalimbali ama kutokana na wanyama au mimea inaweza pia kuchomwa kupata nuru na joto kwa upishi.
Mstari 17:
Mara nyingi nishati ya fueli hutumiwa moja kwa moja kwa mfano kwa njia ya kuweka sufuria juu ya kuni, makaa au gesi inayowaka. Teknolojia ya [[umeme]] inawezesha watu kubadilisha nishati ndani ya fueli katika umbo tofauti ya nishati inayoweza kupelekwa kote kupitia nyaya za umeme. Asili ya umeme mara nyingi ni kuchomwa kwa fueli pia; kwa mfano katika vituo vya umeme mafuta ya petroli, dieseli au makaa mawe huchomwa kusudi la kuchemsha maji na mvuke wa maji unazungusha [[rafadha]] inayoteneneza umeme.
 
== Aina za fueli ==
Fueli yote hukusanya ndani yake nishati ya jua.
 
Mstari 25:
Fueli kisukuku imetambuliwa uchangia kwa kuongezeka kwa halijoto duniani. Sababu yake ni ya kwamba visukuku vinatunza kaboni daioksidi iliyokusanywa na mimea ya kale kwa muda wa miaka mamilioni. Tangu karne ya 19 wanadamu walianza kuchoma fueli hizi kwa wingi na kurudisha kaboni daioksidi yote ilyofunikwa kwa mika mamilioni hewani katika muda mfupi wa karne 1 au 2.
 
Fueli za kisukuku ni hasa
* [[makaa]]
* [[petroliamu]] na vitu vilivyotengenezwa kutokana nayo kama vile [[petroli]], [[diseli]] au mafuta ya taa
Mstari 43:
[[arc:ܝܩܕܐ]]
[[az:Yanacaq]]
[[be:Паліва]]
[[be-x-old:Паліва]]
[[bg:Гориво]]