Jamhuri ya Watu wa China : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza roa-rup:China
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza pag:Zhongguo; cosmetic changes
Mstari 59:
'''China''' (pia: '''Uchina, Sina''') au '''Jamhuri ya Watu wa China,''' ni nchi kubwa ya Asia ya Mashariki na nchi yenye watu wengi duniani.
 
China imepakana na [[Vietnam]], [[Laos]], [[Myanmar]], [[India]], [[Bhutan]], [[Nepal]], [[Pakistan]], [[Afghanistan]], [[Tajikistan]], [[Kyrgyzstan]], [[Kazakhstan]], [[Urusi]], [[Mongolia]], [[Korea ya Kaskazini]]. Kuna pwani ndefu la [[Bahari ya Kusini ya China]] na [[Bahari ya Mashariki ya China]] ambazo ni [[bahari ya kando]] ya [[Pasifiki]]. [[Mji mkuu]] ni [[Beijing]].
 
China kuna makabila tofauti 56. Walio wengi (92%) ni [[Wahan]]. Lugha rasmi ni [[Kichina]] cha [[Mandarin]]. Siasa inatawaliwa na [[chama cha kikomunisti]].
Mstari 74:
Upana wa China kati ya kaskazini na kusini ni [[kilomita]] 4,200 na kati ya mashariki na magharibi ni kilomita 4,200. Pwani lina urefu wa kilomita 14,400.
 
Kuna mito mikubwa; mrefu zaidi ni [[Yangtse]] (6,300 km), Hwangho au [[Mto Njano]], Xi Jiang au mto wa Magharibi, [[Mekong]], [[Mto wa Lulu]], [[Brahmaputra]] na [[Amur]]. Mito hii yote ina vyanzo vyao katika milima mikubwa penye [[usimbishaji]] mwingi ikibeba maji kwenda tambarare pasipo na mvua nyingi. Jiografia hii ilikuwa chanzo cha kilimo cha umwagiliaji na kukua kwa madola ya kwanza.
 
Kutokana na madawa ya kilimo na maji machafu ya viwanda mito na maziwa ya China hupambana na machafuko makali; mwaka 2007 ziwa Tai lilisafishwa kwa gharama kubwa mno kwa sababu maji hayakufaa tena kwa mahitaji ya maji ya bomba.
Mstari 283:
[[os:Китай]]
[[pa:ਚੀਨ ਦਾ ਲੋਕ ਰਾਜੀ ਗਣਤੰਤਰ]]
[[pag:Zhongguo]]
[[pam:Maldang Republika ning Tsina]]
[[pap:China]]