Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza diq:Herbê Dınyayê Yewine |
|||
Mstari 38:
* [[Afrika ya Kusini-Magharibi ya Kijerumani]] ilivamiwa na Afrika Kusini na jeshi la ulinzi la Kijerumani likajisalimisha Julai 1915.
* [[Kamerun]] ilivamiwa na Wafaransa na Uingereza kutoka koloni zao za Nigeria na Afrika ya Kati ya Kifaransa. Jeshi la ulinzi likajisalimisha katika Februari 1916.
* [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] ilikuwa mahali pa mapigano yaliyoendelea kwa miaka yote ya vita. Jeshi la Ulinzi wa Kijerumani chini ya uongozi wa [[Paul von Lettow-Vorbeck]] lilifaulu kutetea eneo la koloni dhidi ya mashambulio ya kwanza ya Waingereza kutoka Kenya hadi 1916. Kwenye Novemba 1914 jeshi la askari 8,000 kutoka Uhindi lilishindwa kwenye [[mapigano ya Tanga]]. Hadi mwanzo wa 1916 Waingereza walikusanya jeshi kubwa kutoka Afrika Kusini na Uhindi wakafaulu kutwaa sehemu kubwa ya koloni hadi Agosti 1916. Jeshi la ulinzi likanedelea kushika kusini ya koloni hadi 1917 ilipohamia kwenye eneo la [[Ureno|Kireno]] katika [[Msumbiji]]. Waingereza na Wareno walishindwa kuwashika kundi la Kijerumani. Mwaka 1918 Lettow-Vorbeck alirudi Tanganyika akaingia [[Rhodesia ya Kaskazini]] alipoambiwa na Waingereza wakati wa Novemba 1918 ya kwamba vita ya Ulaya ilikwisha tayari.
== Mwisho wa vita ==
|