Anime : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Haya, nimeboresha kulingana na agizo la Mzee Kipala!
No edit summary
Mstari 2:
'''Anime''' ni istilahi ya kutaja "Animation" au katuni kwa lugha ya [[Kijapani]]. Asili yake hasa ni Kiingereza, lakini katika baadhi ya sehemu, istilahi hii humaanisha "Japanese Animation", yaani, Katuni za Kijapani au Animation kwa kulete maana ileile ya Katuni za Kijapani. Lakini vilevile huko nchini Japani, anime huwa wanalitumia pia kwa matumizi ya katuni yoyote ile bila kutazama maana halisi kwa lugha yao. Makala hii inahusu katuni za Japani.
 
Baadhi ya katuni huchorwa kwa mkono, lakini vilevile zinaweza kutengenezwa kwa kutumia kompyuta. Kuna aina chungumzima ya anime; unaweza kupata anime kuhusu michezo, mazingaombwe, au mahaba. Hii ni baadhi ya mifano. Anime huoneshwa katika [[televisheni]], [[DVD]] na [[VHS]], na pia hutumiwa katika michezo ya video ya kompyuta. Pia, baadhi ya katuni za anime ni [[filamu]], lakini zina wahusika wa hali za kikatuni na animation badala ya kuweka watu na maeneo ya kweli.

Anime hasa hutokana na kitabu cha katuni cha Kijapani kinaitwa [[Manga]] na riwaya za picha. Wakati mwingine filamu za kawaida, yaani, filamu zinazohusisha mazingira ya kweli watu, mahali, na kadhalika huwa zinatokana na mifululizo ya anime. Historia ya anime huko nchini Japani hutazamiwa hasa kuanza kunako miaka ya 1900
 
== Baadhi ya anime ==