Tofauti kati ya marekesbisho "Gervais Yao Kouassi"

38 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
d
r2.7.3) (Roboti: Imeongeza jv:Gervais Yao Kouassi; cosmetic changes
d (r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: ar:جيرفينهو)
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza jv:Gervais Yao Kouassi; cosmetic changes)
}}
 
== Historia ==
'''Gervais Yao "Gervinho" Kouassi''' (amezaliwa [[27 Mei]], [[1987]] katika [[Ányama]])na ni mchezaji wa kandanda wa kimataifa wa [[Ivory Coast]] ambaye anacheza kama mshambulizi katika ligi ya Kifaransa ya Ligue 1 na klabu ya [[Lille OSC]].
 
== Kazi ==
=== Miaka ya awali ===
Gervinho alizaliwa katika eneo la Ányama, mji sawa kama mshambulizi wa Sevilla na wa kimataifa wa Ivory Coast [[Arouna Koné]].
 
Gervinho amehusishwa sana na kuhamia Arsenal. Gervinho alielezea hamu yake ya kuhamia timu hiyo,ikithibitisha uvumi kuwa Arsenal walikuwa wanamtaka. Alisema angeendelea kufanya kazi kwa bidii huko Le Mans kisha Arsenal itamfungulia milango. Hivi majuzi,Tottenham Hotspur wamekuwa wakijaribu kufikia mpango mwema na Le Mans ya kumhamisha Gervinho hadi timu hiyo ya Meneja Redknapp. Le Mans wakatangaza kwamba kama Gervinho alikuwa anaenda kokote,wangetaka £ milioni 5.5,hata hivyo Redknapp bado anamtaka katika timu yake akiwa pamoja na [[Giovanni Dos Santos]]. Tarehe 21 Julai 2009:mshambulizi huyu wa Ivory Coast alihamia timu ya Lille OSC kutoka Le Mans UC72,kwa mkataba wa miaka mitatu.Bei ya Uhamisho ilikuwa euro milioni 8.
 
=== Wasifu wa Kimataifa ===
Gervinho alikuwa nahodha wa timu ya Olimpiki ya Ivory Coast. Katika mwezi wa Septemba 2007,yeye alifunga bao kutoka mkwaju wa penalti na kufanya washinde timu ya mali kwa mabao 3-1 ili kuhitimu kucheza katika [[Olimpiki ya Beijing]].
 
Yeye iliwakilisha nchi yake katika mashindano ya Olimpiki ya 2008. Alifunga bao moja na kumsaidia mchezaji mwingine kuweza kufunga bao katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Serbia.Hivi sasa anashiriki katika Shindano la Kombe la Afrika la 2010 nchini [[Angola]].Alicheza katika mechi dhidi ya Burkina Faso ambapo walitoka sare tasa 0-0.
 
== Marejeo ==
# "Gervinho:Le Mans FC". Le Mans FC. 2008-07-16.[http://www.muc72.fr/groupe-pro.php.]
# [http://www.4-4-2.com/displaynews/date/2009/07/20/gervinho-wechselt-nach-lille.html Gervinho wechselt nach Lille]
# [http://en.beijing2008.cn/news/sports/headlines/football/n214526866.shtml Gervinho]
 
== Viungo vya nje ==
* [http://fifci2.win3.hebergement.com/News.aspx?num=A000001257 Mahojiano na Gervinho]
* [http://soccernet.espn.go.com/players/stats?id=102192& Gervinho kwenye tovuti ya ESPN]
[[it:Gervinho]]
[[ja:ジェルヴィーニョ]]
[[jv:Gervais Yao Kouassi]]
[[ko:제르비뉴]]
[[lt:Gervais Yao Kouassi]]
44,011

edits