Sao Tome na Principe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Roboti: Imebadilisha: ur:ساؤٹوم→ur:ساؤ ٹومے و پرنسپے |
Xqbot (majadiliano | michango) d r2.7.3) (Robot: Modifying tk:San Tome we Prinsipi to tk:San-Tome we Prinsipi; cosmetic changes |
||
Mstari 50:
footnotes =}}
'''Sao Tome na Principe'''
Eneo lake ni hasa visiwa viwili vikubwa vya São Tomé na Príncipe pamoja na visiwa vidogo kadhaa. Sao Tome na Principe vina umbali wa 140 km kati yao vikiwa takriban 250 na 225 km kutoka pwani la [[Gabon]].
Mstari 57:
Jina la Sao Tome lamaanisha "Mtakatifu Thomas" kwa sababu Wareno walifika mara ya kwanza siku ya Thomas katika kalenda ya kikatoliki.
90 % za wakazi huishi kwenye kisiwa kikubwa cha Sao Tome ambacho kina urefu wa 48 km na upana wa 32 km. Hapa kuna milima ya kufikia
Kisiwa cha pili ni Principe kina urefu wa 16 km na upana wa 6 km. Mlima wake mkubwa unafikia 927 m juu ya UB.
Mstari 65:
Miji mikubwa zaidi ni (namba za 2005):
* São Tomé: wakazi 56.1670
* Santo Antonio: wakazi 8.239
* Neves: wakazi 7.392
* Santa Cruz: wakazi 6.969
* Trindade: wakazi 6.636
Mstari 77:
Uchumi wa visiwa ulikuwa hasa mashamba makubwa ya [[kakao]] pamoja na kahawa na mazao ya minazi.
Katika miaka ya nyuma akiba za [[mafuta]] ziligunduliwa baharini katika maeneo kati ya Sao Tome na [[Nigeria]].
Mstari 226:
[[tet:Saun Tomé no Prínsipe]]
[[th:ประเทศเซาตูเมและปรินซิปี]]
[[tk:San
[[tl:Sao Tome at Prinsipe]]
[[tr:São Tomé ve Príncipe]]
|