Western : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
*'''Mmeksiko''' ni mtu mdogo asiyeongea Kiingereza sanifu ni mtu anayestahili kupigwa na kudharauliwa na macowboy. Kosa lake ni ya kwamba miaka kadhaa iliyopita alishindwa na Waamerika na kubaki kwenye nchi iliyovamiwa na Marekani. Katika mawestern za baadaye mara chache anapata nafasi ya kumwua mwovu pia.
 
*'''Indio''' au mwenyeji asilia wa Amerika ni hatari. Anaiba mifugo na kushambulia ovyo wazungu wazuri Wamarekani. Kama mkurugenzi wa filamu amepewaana pesa ya kutosha kwa kuajiri waigizaji wa kutosha maindio wengi sana hushambulia nyumba ya rancher au hata mji wote wakikaribia kushinda lakini kwa bahati nzuri '''cavallery''' (jeshi la farasi) hufika na kuwafukuza. Katika Western za baadaye hutokea ya kwamba sababu za Waindio zaelezwa kwa nini wanashambulia kwa mfano kwa sababu Wamarekani walitwaa ardhi yao au kuua watoto wao.
 
==Maajabu ya Western==