Western : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
Hadithi zinazosimuliwa katika filamu za western mara nyingi huwa na watu wafuatao:
* '''Cowboy''' au mchunga ng'ombe - anayeonyeshwa mara nyingi kama mtu mwenye kazi ngumu asiye na elimu lakini ni hodari. Kwa kawaida ni mtu mwema.
* '''Sheriff''' au mpolisi - anayepigana na waovu; anayelalahuishi na kulala ofisini mwake anapoangalia pia wafungwa. Kazi yake ni pia kutetea wafungwa kama watu wa mji wanataka kuwanyonga mara moja. Kwa kawaida ana uwezo wa kutumia bunduki yake haraka sana. Huwa ni mtu mwema
* '''Rancher''' au mwenye shamba la mifugo - yeye ni mwajiri wa macowboy. Ama ni mtajiri sana au yeye ni maskini anayeanza kujenga maisha yake na kupambana na matatizo ya kila aina. Mara nyingi ni mtu mwema lakini hutokea pia kama mbaya anayetaka kujitajirisha hata akimwua jirani
* '''Watu wa mjini''' - ama mwenye duka au mwenye kilabu. Anahofia waovu wanaopita mjini na kupora pesa zake. Kwa kawaida huwa mwoga asiye tayari kumsaidia sheriff.
** '''Undertaker''' au mzishi ni mtu wa mjini wa pekee anayefurahia kila maiti inayoongeza mapato yake. Kwa hiyo hana neno na waovu na kwa kawaidi hawana neno naye. Asipokuwa na nafasi ya pembeni kabisa katika hadithi yeye huwa ni mwanafalsafa wa filamu mwenye hekima nyingi kuhusu maisha na mauti.
* '''Mwanamke''' - aina yake ilikuwa haba huko magahribi ya kale kwa hiyo hakuna nafasi nyingi kwa waigizaji wa kike katika filamu za Western. Mwanamke hupatikana kwa namna mbili.
**Ama yeye ni mke wa rancher au wa mtu wa mjini,. Huonyeshwa kama mcha Mungu na hodari akishika bunduki.
**Au yeye ni mwimbaji katiba kilabu anayedharauliwa na watu wa kawaida lakini macowboy humpenda; mara nyingi ni rafiki wa siri wa sheriff au mwovu mkuu anayeweza kumsaidia; hali halisi yeye ni mkahaba lakini filamu za Western za kawaida hawaonyeshi upande huu wa kazi yake waziwazi isipokuwa tangu kupatikana kwa [[Spaghetti Western]] upande huu wa maisha umeonyeshwa pia kiasi.
**Mwanamke wa pekee ni '''binti wa rancher''' anayerudi kutoka masomoni. Alipoondoka alikuwa msichana mdogo lakini akirudi ni mrembo anayesababisha mvurugo kati ya wanaume wa eneo mara moja. Huingzwa hasa katika filamu pasipo na haja ya damu nyingi.
**Kazi muhimu ya mwanamke katika filamu hizi ni kuwapa wanaume sababu ya kupigana juu yao ama kwa mikono -hasa kilabuni wanapovunja viti vingi pamoja na kioo kikubwa kilichopo katikati ya rafu ya vyupa- au kwa bunduki. Hii ni sababu ya kwamba undertaker huwaheshimu wakinamama hata asipopata nafasi nyingi ya kuwazika.
*'''Mwovu mkuu na wenzake''' ni pilipili na sukari ya filamu za Western. Wanafika kutoka nje na kuleta kifo mpaka wameuawa wenyewe.
*'''Mwanamke wa pekee''' ni binti wa rancher anayerudi kutoka masomoni. Alipoondoka alikuwa msichana mdogo lakini akirudi ni mrembo anayesababisha mvurugo kati ya wanaume wa eneo mara moja. Huingzwa hasa katika filamu pasipo na haja ya damu nyingi.
*'''Mwovu mkuu na wenzake''' ni pilipili na sukari ya filamu za Western. Wanafika kutoka nje na kuleta kifo mpaka wameuawa wenyewe. *Mara wanashambulia benki mara wanafuata mipango ya kulipiza kisasi kwa sababu sheriff wa mji aliwahi kumwua kaka wa mwovu mkuu miaka 23 iliyopita. Wakati mwingineWengine wameajiriwa na rancher mbaya kumfukuza jirani wake mwema kwa sababu chemchemi ya pekee iko ndani ya eneo lake.
**Wakati mwingine mwovu huonyeshwa kuwa na tabia nzuri kwa sababu ameshakata shauri kuacha maovu lakini kwa bahati mbaya tangazo lenye picha yake linaloahidi kiasi cha pesa kwa yeyote anayemkamata au kumwua liko katika ofisi ya sheriff. Kwa hiyo sheriff anapaswa kumwinda. Kama sheriff angependelea kutomwona au kumsahau kuna mwovu wa aina nyingine ni headhunter au mwindaji wa waovu wanotafutwa anayetaka kichwa chake kwa sababu ya pesa.
 
Wakati mwingine mwovu huonyeshwa kuwa na tabia nzuri kwa sababu ameshakata shauri kuacha maovu lakini kwa bahati mbaya tangazo lenye picha yake linaloahidi kiasi cha pesa kwa yeyote anayemkamata au kumwua liko katika ofisi ya sheriff. Kwa hiyo sheriff anapaswa kumwinda. Kama sheriff angependelea kutomwona au kumsahau kuna mwovu wa aina nyingine ni headhunter au mwindaji wa waovu wanotafutwa anayetaka kichwa chake kwa sababu ya pesa.
[[Image:The searchers Ford Trailer screenshot (25).jpg|thumb|300px|Macowboy na Maindio (bado hai)]]
*'''Mmeksiko''' ni mtu mdogo asiyeongea Kiingereza sanifu ni mtu anayestahili kupigwa na kudharauliwa na macowboy. Kosa lake ni ya kwamba miaka kadhaa iliyopita alishindwa na Waamerika na kubaki kwenye nchi iliyovamiwa na Marekani. Katika mawestern za baadaye mara chache anapata nafasi ya kumwua mwovu pia.
Line 26 ⟶ 29:
 
==Maajabu ya Western==
Tabia ya ajabu ya watu katika filamu hizi ni wakifika mjini baada ya kusafiri njia ndefu kwa farasi kwenye jua kali huingia mara moja kilabuni. Hapa hawanywi maji au angalau bia lakini mara moja pombe kali ya whiskey angalauwakiagiza chupa kimoja ([[lita]] 0.7).
 
Tabia nyingine ya ajabu ni ya kwamba wakipigwa risasi hufa mara moja bila kulia. Huanguka tu na kuwa kimya. Hakuna wajeruhiwa wanaoendelea kulia kwa masaa mengi usiku wote. Wengine hawaagi dunia mara moja lakini huwa na hotuba kabla ya kufa.