Rastafari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Maana alisi ya neno RASTAFARIAN :ni imani ya mtu mweusi au mweupe inayotetea UTU wa MTU MWEUSI.MPIGANIA HAKI YA MTU MWEUSI huitwa RASTAMAN au RASTAWOMAN na kwa ...'
 
{{umbo}}; jamii; +en
Mstari 1:
{{umbo}}
Maana alisi ya neno RASTAFARIAN :ni imani ya mtu mweusi au mweupe inayotetea UTU wa MTU MWEUSI.MPIGANIA HAKI YA MTU MWEUSI huitwa RASTAMAN au RASTAWOMAN na kwa WATOTO wao huitwa RASTABABY.
Imani ya Rasta ilianzishwa zaidi ya miaka 100 iliyopita huku kundi kubwa la waafrika waliokuwa mikononi mwa wakoloni walipoweza kuingia kwenye imani hiyo huku nchi ya JAMAICA ikiwa na wafuasi wengi.
Line 7 ⟶ 8:
GABRIEL HAIRE SELASIE aliyekuwa kiongozi wa nchi ya Ethiopia ni moja kati ya watu waliochangia kukuza imani ya Rasta ulimwenguni na ndipo jumuiya ya Rastafariani ilipoamua kumteua kuwa kiongozi wa Rastafarian ulimwenguni.
Rasta hutumia muda wa mapumziko kwa kusikiliza burudani ya nyimbo walizo zitunga ambazo nyingi ya nyimbo hizo huwa za kuwapa moyo na kuwafariji watu weusi.
 
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Afrika]]
 
[[en:Rastafari movement]]