Belarus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza lmo:Bielurüssia
d r2.7.3) (Robot: Modifying pam:Belarus to pam:Bielorusya; cosmetic changes
Mstari 56:
}}
[[Picha:Bo-map.png|thumb|left|300px|Ramani ya Belarus]]
'''Belarus''' ([[Kibelarus]]: Беларусь ([[kikyrili]]) au Biełaruś ([[kilatini]]); [[kirusi]]:Белоруссия ) ni nchi ya Ulaya ya Mashariki inayopakana na [[Urusi]], [[Ukraine]], [[Poland]], [[Lithuania]] na [[Latvia]]. [[Mji mkuu]] ni [[Minsk]] na miji mingine ni pamoja na [[Brest (Belarus)|Brest]], [[Grodno]], [[Gomel]], [[Mogilev]] na [[Vitebsk]]. Idadi ya wakazi ni watu 9,755,000 (2005 kad.).
 
== Historia ==
Mstari 63:
== Wakazi na utamaduni ==
Wakazi walio wengi ni Wabelarus ambao wanaongea ama [[Kibelarus]] au [[Kirusi]] ambavyo vyote viwili ni lugha rasmi. Lugha hizi mbili zina asili ya pamoja. Takriban 11% za wakazi ni Warusi. Kuna pia vikundi vidogo vinavyotumia lugha za pekee kama vile Kipoland, Kiukraine, Kilatvia, Kiluthuania na vingine.
Walio wengi ni wafuasi wa [[Ukristo wa Kiorthodoksi]].
 
== Viungo vya Nje ==
Mstari 211:
[[or:ବେଲାଋଷ]]
[[os:Белорусси]]
[[pam:BelarusBielorusya]]
[[pap:Belarus]]
[[pih:Belerus]]