Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 79.191.240.147 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Teles
No edit summary
Mstari 81:
:Naona ni hoja zuri sana. Labda uanze kwa kutumuia [[en:Literature_of_Kenya]]? Haina habari nyingi lakini ni chanzo. Unaweza kuongeza habari za mitindo na kazi za waandishi na majina ya nyongeza polepole. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 12:25, 21 Aprili 2011 (UTC)
::Shukrani tele [[Mtumiaji:Kipala|Kipala]].Nitaendele basi.
 
 
==Kiwix==
Salaam Oscar, Oliver alinishauri niwasiliane nawe. Namhitaji mtu anayejua jinsi ganu Kiwix pamoja na wikipedia inaenda kwenye tovuti ya shule. Oliver alidhaniy a kwamba wewe ulihusika katika shule moja. Swali langu SI matumizi ya Kiwix ikiwekwa moja-moja kwenye kila kompyuta, bali matumizi yake ikiwa kwenye seva ya shule na wote wanaingia kupitia mtandao wa ndani. Je umewahi kuona hii? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 07:39, 13 Novemba 2012 (UTC)