Dini nchini Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 724953 lililoandikwa na 86.41.70.33 (Majadiliano)
photo taken in Njombe, not Songea
Mstari 1:
[[Image:Moshi mosque.jpg|[[Msikiti]] huko mjini [[Moshi]], [[Tanzania]].|thumb|right]]
[[Image:Church in SongeaNjombe, Tanzania.jpg|thumb|150px|[[Kanisa]] huko mjini [[SongeaNjombe]].]]
'''Dini za wananchi wengi wa nchi ya Tanania''' ni [[Uislamu]], [[Ukristo]] na [[dini asilia za Afrika]] (dini za jadi). Nje ya hao wako wachache wanaofuata [[Uhindu]], [[Usikh]] na dini nyingine na mara nyingi hawa ni wahamiaji katika nchi au wamezaliwa katika vikundi vyenye asili ya uhamiaji kutoka nje.