Longitudo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza az:Uzunluq dairəsi
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:WorldMapLongLat-eq-circles-tropics-non.png|thumbnail|300px|Ramani ya dunia inayoonyesha mistari ya longitudo na latitudo]]
 
'''Longitudo''' ''([[kilatini]]: longitudo)'' katika ramani au mchoro wa dunia ,ni njia ya kuonyesha mahali duniani kwa kutaja umbali wake kutoka mstari wa [[meridiani ya sifuri]] kwa kipimo cha digrii ('''°'''). Kwenye msingi wa digrii 360 za duara digrii hizi za latitudo huehesabiwa hadi +180° (kwenda mashariki) au hadi -180° (kwenda magharibi). Ni kawaida vilevile kutaja tofauti kati ya longitudo za mashariki au magharibi kwa kuongeza herufi za "E" (east) na "W" (west) badala ya +/-. Pamoja na kipimo cha [[latitudo]] inataja kamili kila mahali duniani.
 
Meridiani ya 0° imekubaliwa ni mstari kutoka [[ncha ya kaskazini]] hadi [[ncha ya kusini]] unaopita katika mji wa [[Greenwich]] (karibu na [[London]] / [[Uingereza]]).