Tofauti kati ya marekesbisho "U"

533 bytes removed ,  miaka 13 iliyopita
sahihisho dogo
(sahihisho dogo)
! Kilatini Kipya:<br> U
|}
Alama ya U kiasili haikupatikana katika Kilatini cha Kale. Iliandikwa kama V na matamshi yake yalitegemea nafasi yake katika neno pia lahaja mbalimbali. Tofauti ilikubwaliwa tu wakati wa Kilatini Kipya katika karne ya 16 ambako wataalamu wa Ulaya walikubaliana kutumia alama yenye kona V kwa sauti ya [[konsonanti]] na alama isiyo na kona U kwa [[vokali]].
 
Waroma walipokea alama hii kutoka [[alfabeti ya Kigiriki]] kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama [[Kietruski]]. Wagiriki walipokea kutoka [[Wafinisia]].
 
Wafinisia walikuwa na "waw" iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya fimbo la kingoe au kiopoo. Wagiriki wa Kale walichukua alama hiyo na kuitumia kwa namna mbili: kwa umbo moja kama [[digamma]] (tazama [[F]]) na umbo la pili kama "[[ipsilon]]" bila kujali maana asilia ilitaja sauti kati ya "u" na "i".
 
Waitalia ya kwanza wakaendelea kutumia alama kwa aina ya "u" lakini pia "w" kama ilikuwa mwanzoni wa neno. Waroma walipokea vile. Baada ya kutawala Ugriki pia na kupokea maneno mengi ya Kigiriki katika Kilatini walipokea pia ipsilon yenyewe kutoka Kigiriki moja kwa moja kwa sauti ya Kigiriki iliyo kati ya "u" na "i" (kama Kijerumani "ü").
 
Waroma mwanzoni hawakutumia alama hii kwa sababu hawakuwa na "k" jinsi Waetruski walivyoitamka. Kwa sauti ya "k" ya kawaida Waroma walitumia [[C]]. Lakini baadaye baada ya Roma kutwaa na kutawala Ugiriki walianza kutumia maneno mengi ya Kigiriki wakaingiza K ya Kigiriki katika alfabeti yao wakaitumia wka maneno ya kigeni tu.
 
Waitalia ya kwanza wakaendelea kutumia alama kwa aina ya "u" lakini pia "w" kama ilikuwa mwanzoni wa neno. Waroma walipokea vile.
 
[[Category:Alfabeti]]