Muwati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza spishi
dNo edit summary
Mstari 17:
}}
[[Picha:Acacia heterophylla (1).JPG|thumb|left|240px|"Majani" (vikonyo) ya muwati wa Madagaska]]
'''Miwati''' ni [[mti|miti]] ya [[jenasi]] ''[[Acacia]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Fabaceae]] iliyo na [[jani|majani]] yenye sehemu nyingi, lakini [[kikonyo|vikonyo]] vya majani vya spishi nyingi vimekuwa vipana na vimebadili majani menyewe. Zamani jenasi hii ilikuwa na [[spishi]] takriban 1300 lakini wanasayansi wameigawanya kwenye jenasi tano sasa: ''Acacia'', ''[[Vachellia]]'', ''[[Senegalia]]'', ''[[Acaciella]]'' na ''[[Mariosousa]]''<ref name="Split upheld">{{Cite web|url=http://www.scienceinpublic.com.au/media-releases/the-acacia-debate|title=The Acacia Debate|accessdate=2011-08-03|publisher=Science In Public|year=2011}}</ref>. Spishi za ''Acacia'' zinatofautiana na zile za jenasi ''Vachellia'', ''Senegalia'' na ''Acaciella'' kwa ukosa wa [[mwiba|miiba]] (ghairi ya [[muwati kangaruu]]). Hazina [[stipula|mastipula]] (majani mawili madogo chini ya jani kuu) kama spishi za ''Mariosousa''. Kwa asili miti hii inatokea [[Australia]] lakini imewasilishwa katika mabara mengine.
 
==Spishi ya Afrika (Madagaska na kisiwa cha Reunion)==