John Njue : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kardinali
kiungo
Mstari 3:
Njue alizaliwa mwaka 1944 katika kijiji cha Kiriari ([[Embu]]). Alisoma shule ya Gituri Primary na Sekondari.
 
Baada ya kumaliza shule mwaka 1966 aliendelea kusoma [[theolojia]] na kumaliza kwenye Chuo Kikuu cha Urbaniana mjini [[Roma]] kwa MA ya falsafa.
 
Tar. 6 Januari 1973 alipadrishwa huko Embu na kuwa kasisi wa parokia ya Kariakomu ([[Meru]]) 1974. 1978 akawa mwalimu kwenye seminari ya upadre ya St. Augustine mjini [[Bungoma]].