Angahewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza zea:Atmosfeêr
No edit summary
Mstari 6:
Gesi zilizopa katika angahewa ya dunia ni hasa [[nitrojeni]] (78 %) na [[oksijeni]] (21 %) pamoja na viwango vidogo lakini muhimu vya [[arigoni]] (0.9 %), [[kaboni dioksidi]] (0.035 %), mvuke wa [[maji]] na gesi mbalimbali.
 
Angahewa haina mwisho kamili inazidi kuwa hafifu jinsi inavyofikia juu. Asilimia 75 ya masi ya hewa yake iko katika tabakatropo hadi kilomita 11 juu ya uso wa dunia. Uzito wa hewa hupimwa kama [[mkandamizo hewa]].
 
== Halijoto na tabaka za angahewa ==