Ukahaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza als:Prostitution
kupanusha makala
Mstari 1:
# Aya ya orodha zenye namba
[[Picha:0405.Annabell 002.jpg|thumb|right|350px|Picha ya mfano wa kahaba akiwa kazini.]]
 
'''Ukahaba''' (kutoka [[Kiing.]] '''Prostitution''','''hooker''', '''whore''', '''ho''', '''street walker''', '''sex worker''' au ''escort'') huyu mtu, mara nyingi huwa mwanamke, mwenye kufanya [[ngono]] na watu kwa malipo ya fedha. Katika Kiingereza, '''Prostitution''' eti kuna kipindi wanaita "taaluma ya kale duniani". Kulikuwa na hadithi zake karibuni katika kila tamaduni.
'''Ukahaba''' (kutoka [[ar.]] '''قحبه ''' ''qahabatun'' = malaya) ni tendo la kufanya [[ngono]] nje ya ndoa au uhusiano unaokubalika katika jamii na watu mbalimbali kwa malipo. Watendaji wanaopokea malipo huitwa kahaba au malaya; washiriki wanaotoa malipo huitwa wateja. Kama ukahaba unaendeshwa katika nyumba maalumu mahali panaitwa [[danguro]].
 
== Jinsi na namna ya ukahaba ==
Kimsingi kuna aina mbili za ukahaba.
Kahaba hutembea mitaani akitafuta wateja au hufanyakazi katika jengo linaloitwa ''dangulo''. Bosi wao (yule mtu wanayemfanyia kazi na kupata fedha kwa ajili ya kazi) "Bi. ''fulani''" (akiwa mwanamke) au "[[kuwadi]]" (akiwa mwanamume). Katika mji wa [[Amsterdam]] ni sehemu mashahuri kwa makahaba na wapo katika jumba moja linaloitwa [[Red Light District]] (mahala pa mjini ambako kunasifika kwa ukahaba).
# Malaya anajifanyia kazi na kuamua mwenyewe namna gani. Huyu atapatikana mara nyingi akitembea barabarani, kusubiri kwenye mabaa au kwa kutangaza namba ya simu. Wanajitangaza pia kupitia intaneti na kukutana na wateja mahali mbalimbali.
# Malaya wanafanya kazi chini ya usimamizi wa mtu mwingine au watu wengine. Hali yao inaweza kufanana na aina ya ajira wakilipwa kwa kila tendo la ngono kutoka msimamizi anayepokea fedha; au wanatakiwa kutoa malipo kwake kutokana na mapato yao.
Kundi hili lapatikana mara nyingi katika danguro lakini wako pia barabarani katika maeneo maalumu wanapotazamiwa na [[kuwadi]]. Katika kundi hili kuna hasa aina ya utumwa wa kingono ambako mabinti na wanawake wanalazimishwa kujiuza kwa wateja.
 
[[picha:Prostitution laws of the world.PNG|thumb|right|350px|Sheria kuhusu ukahaba duniani
{{Legend|#008000|Ukahaba unaruhusiwa, kuna utaratibu wa kisheria}}
{{Legend|#000080|Ukahaba unaruhusiwa, danguro ni marufuko, hakuna utaratibu wa kisheria}}
{{Legend|#FF0000|Ukahaba ni marufuku}}
{{Legend|#ababab|hakuna habari juu ya nchi hizi}}</small>]]
== Hali tofautiya kisheria ==
Misimamo ya jamii na sheria inatofautiana kati ya nchi na nchi. Hata kama ukahaba unapatikana kote duniani umepigwa marufuku katika nchi nyingi. Lakini mahali pengi penye sheria dhidi ya ukahaba polisi inafunga macho au kutofuatilia biashara hii.
 
Kati ya misimamo kuhusu ukahaba iko ifuatayo:
* Ukahaba hutazamiwa kama jinai. Watendaji wanatishiwa kwa adhabu za kisheria kuanzia [[faini]], [[jela]] hadi [[adhabu ya mauti]] (kama [[Saudia]]). Mara nyingi ni hasa makahaba wanaolengwa kwa adhabu hizi, lakini mahali pengine pia wateja. Hata hivyo katika nchi nyingi penye sheria dhidi ya ukahaba polisi inafunga macho au kutofuatilia biashara hii.
*Ukahaba hutazamiwakama ubaya unaovunja heshima hasa ya wanawake yaani malaya. Malaya huangaliwa kama waathirika wanaostahili kusaidiwa kwa hiyo hawana adhabu. Lakini wote wengine wanaofaidika na ukahaba wanalengwa kwa adhabu: wenye danguro, makuwadi, washiriki katika biashara ya makahaba hadi wateja wenyewe katika nchi kadhaa (mfano: [[Uswidi]])
*Ukahaba hutazamiwa kama ubaya usioshindikana kwa hiyo serikali imetunga sheria na taratibu kwa lengo la kupakana upatikanaji wa ukahaba. Danguro zinapaswa kuandikishwa serikalini, zinatembelewa na idara ya afya ya umma; malaya wanaruhusiwa katika mitaa maalumu ya miji pekee, wanapaswa kuangaliwa na matibabu mara kwa mara. Vijiji na miji midogo zinaweza kuzuia ukahaba katika maeneo yao.
*Ukahaba hautazamiwi tena kama jinai wala kosa bali kama chaguo la watu wazima. Kwa hiyo ukahaba huangaliwa kama namna ya biashara kama biashara nyingine; malaya huitwa "wafanyakazi wa ngono" wanatakiwa kulipa kodi na wanalindwa na sheria za kazi (mifano Uholanzi na Ujerumani).
* Utaratibu maalumu uko katika [[Uajemi]] ambako kuna "[[mutaa]]" au ndoa ya muda kulingana na mafundisho ya [[Washia|Kishia]]. Chini ya utaratibu wa mutaa kuna uhusiano uaolingana na ndoa au pia urafiki katika nchi nyingine; lakini mutaa inaruhusu pia mikataba kwa muda mfupi na inadai mapatano juu ya malipo upande wa mwanaume. Kwa hiyo inapatikana pia kama njia ya ukahaba ambao menginevyo ni arufuku nchini Uajemi.
 
== Hali tofauti ==
=== Uhalali ===
=== Kuutangaza ukahaba ===
== Matatizo ==
=== Usafirishaji wa binadamu na utumwa wa kimapenzi ===
===Makahaba watoto===
== Marejeo ==
{{marejeo}}
 
 
== Tazama pia ==
* [[Kourtesani]]
* [[Geisha]]
* [[Oiran]]
 
{{Wiktionary|ukahaba}}