Maiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 26:
Sheria za nchi kwa kawaida zinafuata hapo utamaduni na dini za wananchi. Hii inahusu pia maazimo kuhusu mahali, tarehe na namna ya mazishi pamoja na swali ni nani anayewajibika kwa gharama.
 
Jambo la pekee ni swali la madaraka juu ya maiti kama hakuna ndugu wala [[agano]]. Wanasayansi kama matibabumatabibu wanatafuta maiti kwa ajili ya mafunzo ya wanafunzi wao.
 
Katika nchi zilizoendelea kuna swali la kutumia sehemu za maiti kama moyo, maini na kadhalika kwa tiba ya wagonjwa kama kuna maiti za watu wenye afya au vijana waliokufa baada ya ajali zinazoweza kutunzwa na kunchunguliwa kabla ya kuoza.