Limpopo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mtumiaji:Muddyb_Blast_Producer = PALIWO DO PIECA KREMO http://www.bocian.ugu.pl/2011/03/24/szumi-limpopo-text-tradycyjn-1956-lecz-zmodyfikowan-2oo9/ |
d Masahihisho aliyefanya 2607:FD60:C938:2E:67D:7BFF:FEE9:FA99 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na [[User:MF-Warburg|MF-Wa... |
||
Mstari 1:
{| border=1 align=right cellpadding=4 cellspacing=0 width=250 style="margin: 0 0 1em 1em; background: #f9f9f9; border: 1px #aaaaaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;"
|+ <big>'''Limpopo'''</big>
|-
|colspan="2" style="text-align:center;"|
|-
|'''Eneo'''
|[[1 E11 m²|123,900 km²]]
|-
|'''Wakazi([[2001]])'''
|5,273,637
|-
|'''Lugha'''
|[[Sepedi language|Sepedi]], [[Venda language|Venda]], [[Tsonga language|Tsonga]]
|-
|'''Wakazi kimbari'''
| Waafrika Weusi(97.3%)<br>Wazungu(2.4%)<br>Chotara(0.2%)<br>Wenye asili ya Asia (0.1%)
|-
|'''[[Mji Mkuu]]'''
|[[Polokwane]]
|-
|'''[[Waziri Mkuu]]'''
| [[Sello Moloto]]<br>([[African National Congress|ANC]])
|-
|colspan="2" style="text-align:center;"|[[Image:South_Africa_Provinces showing_LP.png|200px|Mahali pa Limpopo]]
|}
'''Limpopo''' ni jimbo la kaskazini kabisa la [[Afrika Kusini]]. Mji mkuu ni [[Polokwane]] (zamani Pietersburg). Jimbo liliundwa kutokana na sehemu ya kaskazini ya jimbo la [[Transvaal]] ya awali na maeneo ya [[bantustan]] [[Venda]] na [[Lebowa]].
Jina limetokana na [[mto Transvaal]] ambao ni mpaka wa jimbo na nchi jirani ya [[Zimbabwe]].
==Jiografia==
Limpopo imepakana na [[Zimbabwe]], [[Botswana]] na [[Msumbiji]]; halafu na majimbo ya Afrika Kusini ya [[Kaskazini-Magharibi (jimbo la Afrika Kusini)|Kaskazini-Magharibi]], [[Gauteng]] na [[Mpumalanga]].
Kuna milima mbalimbali hasa milima ya [[Waterberg]] na [[Drakensberg]]. Kaskazini kuna pori ya vichaka na maeneo ya magharibi tambarare za manyasi.
==Wakazi na utamaduni==
Kati ya wakazi amabo wamezidi milioni tano karibu nusu hutumia [[Kisotho cha Kaskazini]]. Vikundi vingine vikubwa ni [[Watsonga]] na [[Wavenda]]. Karibu wakazi wote ni Waafrika weusi, kuna Wazungu na chotara wachache.
==Uchumi==
Kilimo na madini ni uti wa mgongo wa uchumi. [[Utalii]] imeanza.
Kuna migodi mikubwa ya [[shaba]] huko [[Messina (Afrika Kusini)|Messina]] na [[Phalaborwa]].
Kilimo ni cha matunda katika kaskazini na ya [[mahindi]], [[alizeti]], [[pamba]] na [[karanga]] katika kusini.
[[category:Majimbo ya Afrika Kusini]]
[[Jamii:Limpopo| ]]
{{mbegu-jio-AfrikaKusini}}
{{Majimbo ya Afrika Kusini}}
[[af:Limpopo (provinsie)]]
[[de:Limpopo (Provinz)]]
[[en:Limpopo (South African province)]]
[[es:Provincia de Limpopo]]
[[et:Limpopo provints]]
[[fi:Limpopon provinssi]]
[[fr:Limpopo (province)]]
[[ja:リンポポ州]]
[[no:Limpopo]]
[[pt:Limpopo (África do Sul)]]
[[sv:Limpopo (provins)]]
|