Blandina Changula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Brandina Changula
Mstari 15:
| ala =
| kampuni = Game First Quality
}}
}}'''Blandina Changula''' ni Muigizaji wa Luninga na [[Filamu]] Nchni [[Tanzania]] Blandina Alizaliwa Tar. [[27 Julai]] 1983 [[Mkoani]] [[Shinyanga]] [[Tanzania]] na baadae kupata [[elimu]] yake ya msingi katika shule ya [[Bugoyi]] [[mwaka]] [[1990]] hadi [[1997]] na kujiunga katika shule ya sekondari ya kutwa ya [[Buluba]] iliyopo [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1998]] hadi [[1999]] kisha akiwa kidato cha pili akahamishiwa katika [[shule]] ya bweni ya [[Kanawa]] hukohuko mkoani [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1999]] hadi [[2000]] na [[mwaka]] huo huo baada ya kuingia kidato cha tatu akahamishiwa jijini [[Dar es Salaam]] katika [[shule]] ya Greens iliyokuwa maeneo ya [[Temeke]] kabla ya kuhamishiwa [[Ubungo]] hivi sasa shule ambayo alimalizia kidato cha nne [[mwaka]] [[2001]]. Blandina Changula anatokea kundi la [[Kaole Sanaa Group]], ni kundi ambalo linafahamika sana nchini Tanzania kwa kutoa nyota wengi wa Uigizaji, Blandina nae ni Mmoja kati ya Nyota
 
'''Blandina Changula''' (Amezaliwa tar. [[27 Julai]] [[1983]] [[mkoani]] [[Shinyanga]] [[Tanzania]]. ni muigizaji wa vipindi vya telesheni na [[filamu]] nchni [[Tanzania]].
 
Blandina alipata [[elimu]] ya msingi katika shule ya [[Bugoyi]] [[mwaka]] [[1990]] hadi [[1997]] na kujiunga katika shule ya sekondari ya kutwa ya [[Buluba]] iliyopo [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1998]] hadi [[1999]].
 
Akiwa kidato cha pili alihamishiwa katika [[shule]] ya bweni ya [[Kanawa]] hukohuko mkoani [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1999]] hadi [[2000]] na [[mwaka]] huo huo baada ya kuingia kidato cha tatu akahamishiwa tena jijini [[Dar es Salaam]] katika [[shule]] ya Greens iliyokuwa maeneo ya [[Temeke]] kabla ya kuhamishiwa [[Ubungo]] shule ambayo alimalizia kidato cha nne hiyo ilikuwa mnamo [[mwaka]] [[2001]].
 
Blandina Changula anatokea kundi la [[Kaole Sanaa Group]], ni kundi ambalo linafahamika sana nchini Tanzania kwa kutoa nyota wengi wa uigizaji, Blandina nae ni mmoja kati ya nyota
hao, wengine ni [[Steven Kanumba]], [[Vincent Kigosi ]]( Mr Ray ), Tea na wengine wengi tu kutoka [[Kaole Sanaa Group]].
 
Line 57 ⟶ 65:
{{mbegu}}
[[Category:Utamaduni]]
[[Category: Watu wa Tanzania]]
[[Category: Watunzi wa Filamu Tanzania]]
[[Category: Filamu za Tanzania]]
[[Category: Waongozaji wa Filamu za Tanzania]]
[[Category: Waigizaji wa Filamu Tanzania]]
[[Category: Watu na Maisha]]
[[Category: Waliozaliwa 1983]]
[[Category: Waliozaliwa 1983]]