Futi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza war:Piye
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Adult_and_infant_feet_compared.jpg|thumb|300px|Futi zenyewe = miguu hutofautiana ukubwa kati ya watu - hivyo futi ilikuwa kipimo tofauti kati ya nchi na nchi. Leo hii inatumiwa zaidi [[Marekani]] na katika nchi chache za [[Jumuiya ya Madola]]]]
'''Futi''' ([[kiing.]] ''foot'') ni kipimo cha urefu wa 30.48 [[sentimita]] au [[inchi]] 12. Asili yake ni urefu wa sehemu ya kanyagio ya mguu wa mwanadamu. Si [[kipimo cha SI]] bali ni [[kizio]] cha [[vipimo vya Uingereza]].
 
Kifupi chake ni ft. au inaandikwa hivyo: futi 5 inchi 11 = 5' 11".