Barafuto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza fy:Gletsjer
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Aletschgletscher Panorama.jpg|thumb|left|500px|Barafuto ya Aletsch, [[Uswisi]] yenye umbo la mto wa barafu]]
'''Barafuto''' huitwa pia "mto wa [[barafu]]". Ni kanda kubwa la barafu iliyoanza kutambaa kutokana na uzito wake ikifuata [[uvutano]] kwenye mtelemko. Kwa sababu hiyo barafuto zinapatikana hasa mlimani.
[[Picha:155 - Glacier Perito Moreno - Panorama de la partie nord - Janvier 2010.jpg|thumb|center|800px|Barafuto]]
 
== Asili ya barafu ya barafuto ==
Mstari 10:
 
[[Afrika]] ina barafuto ndogo kadhaa juu ya [[mlima Kilimanjaro]] na [[mlima Kenya]] lakini zinaelekea kupotea kutokana na uhaba wa mvua itakayobadilika kuwa theluji mpya.
[[Picha:Aletschgletscher Panorama.jpg|thumb|left|500px|Barafuto ya Aletsch, [[Uswisi]] yenye umbo la mto wa barafu]]
 
{{mbegu-jio}}