Mto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.8) (Roboti: Imebadilisha: lez:ВацI
No edit summary
Mstari 50:
# 4.374 km - [[Kongo (mto)|Kongo]] - (Afrika)
 
==Mito nje ya dunia==
Mito inaweza kupatikana pia kwenye sayari nyingine penye kiowevu. Maziwa na mito imegunduliwa kwenye mwezi [[Titan (Zohali)|Titan]] wa sayari [[Zohali]]. Angahewa ya Titan haina maji ni karibu yote [[nitrojeni]]. Kiowevu ya maziwa na mito yake inaaminiwa kuwa [[methani]] na [[hidrokaboni]] nyingine zinazotokea duniani kama gesi lakini kwenye baridi ya Titan hupatikana kama kiowevu.
Chombo cha angani [[Cassini–Huygens|Cassini]] ya [[NASA]] ilituma picha ya mto wa Titan mwenye urefu wa kilomita 400. <ref>http://www.space.com/18875-titan-nile-river-cassini.html</ref>
 
== Viungo ==
[[Mito mirefu ya Afrika]]
 
==Marejeo==
 
{{Reflist}}
 
{{mbegu-sayansi}}