Hidrokaboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Methane-3D-balls.png|thumb|300px|Molekuliy a methani ambayo ni hidrokabni aina ya alkani]]
'''Hidrokaboni''' ni aina mbalimbali za [[kampaundi ogania]] za kikemia zinazojengwa kwa atomi za [[hidrojeni]] na [[kaboni]] pekee.
 
Kiasili zinapatika hasa katika mafuta ya [[petroliamu]] iliyotokea kutokana na mchakato wa kuoza kwa mimea na mata ogania yenye kaboni na hidrojeni nyingi. Hidrokaboni haziwezi kuingia katika mmenyuko wa kikemia na maji.