Tofauti kati ya marekesbisho "Christiaan Huygens"

88 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumbnail|Picha ya Christiaan Huygens. '''Christiaan Huygens''' (14 Aprili 1629 – 8 Julai 1695) alikuwa mtaala...')
 
Alizaliwa kama mtoto wa Constantijn Huygens aliyekuwa mshairi mashuhuri wa Uholanzi. Hivyo kupitia babake alipata kujua watu maarufu kama vile [[Rembrandt]], [[Peter Paul Rubens]] na [[René Descartes]]. Alipokuwa mdogo alifundishwa na baba akaendelea kusoma sheria kwenye chuo kikuu cha Leiden baadaye akahamia masomo ya hisabati na sayansi.
 
Alikuwa kati ya watu wa kwanza waliofikiri ya kwamba nuru ina tabia ya wimbi. Kutokana na nadharia yake juu ya tabia za nuru aliweza kuboresha umbo la [[lenzi]]. Mwaka 1655 alitengeneza [[darubini]] iliyoboreshwa na kuchungulia sayari ya [[Zohali]] (Saturnus). Alitambua mwezi wa [[Titan (Zohali)|Titan]] na mwaka uliofuata aliweza kutangaza ya kwamba bangili za Zohali zinafanywa kwa miamba.
Alibuni pia saa makini kushinda saa nyingine za wakati wake.