Antonio José de Sucre : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Hw-sucreMartin Tovar y Tovar 12.jpgJPG|thumb|right|Antonio José de Sucre]]
'''Antonio José de Sucre''' ([[3 Februari]], [[1795]] - [[4 Juni]], [[1830]]) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa wa [[Amerika Kusini]] akipigania uhuru wa nchi mbalimbali pamoja na rafiki yake wa karibu [[Simon Bolivar]]. Alikuwa Rais wa sita wa [[Peru]] kuanzia tarehe [[23 Juni]] hadi [[17 Julai]], mwaka wa [[1823]]. Tena alimfuata Simon Bolivar kuwa Rais wa pili wa [[Bolivia]] kuanzia tarehe [[29 Desemba]], [[1825]] hadi [[18 Aprili]], [[1828]]. Alijiuzulu na kuhamia mjini [[Quito]]. Aliuawa kwa kupigwa risasi aliposafiri karibu na mji wa Pasto nchini [[Colombia]].