Difference between revisions of "Elki"

2,471 bytes added ,  7 years ago
no edit summary
m (r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: fr:Alces)
{{Uainishaji
| rangi = #D3D3A4
| jina = ElkiMuusi
| picha = Moose_superior.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = '''ElkiMuusi''' (''Alces alces'')
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
}}
 
'''Muusi''' (kutoka [[Kiingereza|Kiing.]]: [[w:Moose|moose]], Amerika Kaskazini) au '''elki wa Ulaya''' (kutoka [[Kiingereza|Kiing.]]: ''elk'', Ulaya) ([[Kilatini|Kilat.]]: ''Alces alces'') ni spishi kubwa inayoishi ya familia ya [[kulungu (Cervidae)|kulungu]]. Muusi wanajulikana kwa vichwa vyao vikubwa na mashada yao ya pembe zinazogawanyika kama vidole vya kiganja; spishi nyingine za familia huwa na mashada ya pembe zinazogawanyika katika matawi. Kwa kawaida muusi huishi misituni mwa kaskazini na misitu yenye miti ya kupukutika majani yake ya [[Nusudunia ya Kaskazini]] katika hali za nchi za wastani hadi maeneo ya chini ya [[Aktiki]]. Kutokana na uwindaji, muusi wana makazi madogo zaidi. Sasa muusi wengi wanapatikana [[Kanada]], [[Alaska]], [[Skandinavia]] na [[Urusi]]. Wao hula mimea ya ardhini na majini. Wanyama ambao huwinda muusi ni [[mbwa-mwitu]], [[dubu]] na [[binadamu]]. Tofauti na spishi zingine za kulungu, muusi ni wanyama pweke na huwa hawaishi na kundi la muusi wengine. Ingawa muusi kwa kawaida hutembea polepole, wakasirishwapo muusi waweza kuwa mkali na kusonga haraka. Wakati wa [[demani]] iliye majira yao ya kupandana, madume wa spishi hupigana na madume wengine na kumshindania jike.
'''Elki''' (kutoka [[Kiingereza|Kiing.]]: [[w:Elk|elk]]; [[Kisayansi]]: ''Alces alces'') ni [[mnyama]] wa [[Nusudunia ya Kaskazini]] kama [[kongoni]] mkubwa mwenye kichwa kirefu wa familia [[Kulungu (Cervidae)|Cervidae]]. Madume wa spishi hii wana [[Pembe (anatomia)|pembe]] kubwa.
 
== Etimolojia na jina ==
{{Jaribio1| maneno_ya_asili = elk | lugha = Kiingereza | maneno_ya_jaribio = elki}}
Muusi mwenye jina la kisayansi Alces alces hujulikana kama ''elk'' "elki" katika [[Uingereza]], na [[Amerika Kaskazini]] kama ''moose'' "muusi".
{{mbegu-mnyama}}
 
{{Artiodactyla|R.1}}
Jina la [[Kiingereza cha Kibritania]] linatoka lugha zingine za [[Kihindi-Kizungu]], kwa mfano, ''elg'' kwa [[Kideni]]/[[Kinorwe]], ''älg'' kwa [[Kiswidi]], ''Elch'' kwa [[Kijerumani]] na ''łoś'' kwa [[Kipoli]]. Hata hivyo, katika Amerika Kaskazini neno la ''elk'' "elki" hutumika ili kurejelea mnyama tofauti, [[wapiti|elki wa Kanada]] au pia huitwa [[wapiti]] (''Cervus canadensis'') ambaye ni mdogo zaidi na kisanaba tofauti na [[kulungu mwekundu]] wa Ulaya wa kati na magharibi.
 
Neno la ''moose'' kwanza liliingia Kiingereza mwaka wa 1606, na hutoka lugha za [[Kialgonkini]] ([[Kinarragansett]] ''moos'' na [[Kiabenaki cha Mashariki]] ''mos'').
 
Muusi dume aliyekua hurejelewa kama [[fahali]], na muusi jike ni [[dachia]], na mtoto wa muusi ni [[ndama]].
 
== Makazi na eneo ==
 
=== Amerika Kaskazini ===
Katika Amerika Kaskazini, muusi huishi Kanada (mbali na Aktiki), Alaska, Uingereza Mpya, [[Milima yenye Miamba]], [[Minesota]], [[Peninsula ya Juu ya Michigan]] na [[Kijisiwa cha Kifalme]] cha [[Ziwa Kubwa]]. Katika eneo hili kubwa, kuna spishi zingi za chini. Katika magharibi ya bara ya Amerika Kaskazini, idadi za muusi zinafikia kaskazini mwa Kanada ([[Kolumbia ya Kibritania]] na [[Alberta]]) na spishi wengine wamepatikana milimani mwa [[Utah]] na [[Kolorado]].
 
=== Ulaya ===
Katika Ulaya, muusi wanapatikana katika [[Unorwe]], [[Uswidi]], [[Ufini]], [[Urusi]], [[Upoli]] na [[nchi za Kibaltiki]], na muusi wachache katika [[Ucheki]], [[Belarusi]] na [[Ukraini]].
 
[[Jamii:Ng'ombe na jamaa]]
555

edits