Kulungu Aktiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 22:
}}
 
'''Kulungu Aktiki''' ([[Kilatini|Kilat.]]: ''Rangifer tarandus''), nipia [[mnyama]]hujulikana mkubwakama wa'''karibuu''' sehemu yakatika [[AkitikiAmerika Kaskazini]] anayefananani naspishi ya [[Kulungukulungu (BovidaeCervidae)|kulungu]] waanayeishi [[AfrikaAktiki]] na maeneo ya chini ya Aktiki. Spishi moja imekufa kabisa.
 
Kulungu aktiki hutofautiana kwa rangi na ukubwa. Jinsia mbili huzaa [[pembeshada]], ingawa pembeshada za madume ni kubwa zaidi. Hata hivyo, kuna idadi chache za kulungu aktiki jike hawa na pembeshada kabisa.
 
Kulungu aktiki wa mwitu huwindwa na kulungu aktiki wanaofungwa huchungwa kwa nyama, ngozi, pembeshada na maziwa). Hii ni muhimu kwa watu wa Aktiki na maeneo ya chini ya Aktiki kama [[Waeskimo]]. Hata nje ya makazi yake, kulungu aktiki anajulikana sana kutokana na [[Baba Krismasi]] ambaye sleji yake inayokokotwa na [[kulungu aktiki wa Baba Krismasi|kulungu aktiki wanaopuruka]]. Katika [[Ulapi]], kulungu aktiki kokota pulka (aina ya sleji ya [[Kilapi]]).
 
== Makazi ==
Kulungu aktiki huishi kaskazini mwa [[Holaktiki]] wakipatikana [[tundra]] na [[taiga]] (msitu wa kaskazini). Kwa asili, kulungu aktiki walipatikana [[Skandinavia]], Ulaya wa Mashariki, [[Grinlandi]], [[Urusi]], [[Mongolia]] na [[Uchina]] wa kaskazini. Katika Amerika Kaskazini, walipatikana [[Kanada]], [[Alaska]] ([[Marekani]]), na pia kutoka kaskazini mwa [[Washington]] hadi [[Maine]]. Karne ya 19, bado walipatikana [[Idaho]]. Hata nyakati za kihistoria, waliishi [[Ayalandi]]. Wakati wa mwisho wa [[enzi ya Pleistosini]], kulungu aktiki walipatikana hadi umbali wa [[Nevada]] na [[Tenesii]] katika Amerika Kaskazini na [[Uhispania]] katika Ulaya. Sasa kulungu aktiki wa mwitu wametoweka maeneo mengi kati ya eneo hili la kihistoria, hasa sehemu za kusini ambapo walitoweka kabisa. Idadi kubwa ya kulungu aktiki wa mwitu bado hupatikana [[Unorwe]], [[Ufini]], [[Siberia]], Grinlandi, Alaska na Kanada.
 
== Mofolojia ==
=== Ukubwa ===
Kwa kawaida majike hupima 162-205cm kwa urefu na 80-120kg kwa uzito. Madume (au “fahali”) kwa kawaida wakubwa zaidi wakipima 180-214 kwa urefu na kwa kawaida 159-192kg kwa uzito ingawa madume walio wakubwa sana waweza kuwa na uzani wa 318kg.
 
=== Manyoya ===
Rangi ya manyoya inatofautiana sana kutegemea majira na spishi ya chini. Idadi za kaskazini zilizo dogo zaidi ni nyeupe, hata hivyo idadi za kusini ni kubwa zaidi zenye manyoya ya rangi iliyoiva zaidi.
 
=== Pembeshada ===
Jinsia mbili huzaa pembeshada (aina ya pembe ya spishi ya familia ya kulungu zinazogawanyika katika matawi) na spishi ya pekee ambayo majike huzaa pembe na pia madume.
 
== Etimolojia ==
Jina la "rangifer" ambalo [[Linnaeus]] alichagua kama jina kwa jenasi ya kulungu aktiki lilitumiwa na [[Albertus Magnus]]. Neno hili linaweza kutoka neno la [[Kilapi]] ''raingo''.
 
Kwa Kiingereza, anaitwa ''reindeer'' yenye asili ya [[Kinorsi]] ([[Kinorsi cha Kale]] ''hreinn'' linatoka [[Kiproto-Kijerumaniki]] ''*hrainaz'' na [[Kiproto-Kihindi-Kizungu]] ''*kroinos'' linalomaanisha "mnyama mwenye pembe"). Kwa lugha za [[Kiurali]], [[Kilapi]] ''poatsu'' (kwa [[Kilapi cha Kaskazini]] ''boazu'', [[Kilapi cha Lule]] ''boatsoj'', [[Kilapi cha Pite]] ''bâtsoj'', kwa [[Kilapi cha Kusini]] ''bovtse''), [[Kimari]] ''puča'' na [[Kiudmurti]] ''pudžej'', majina yote hurejelea kulungu aktiki waliofungwa yanayotoka neno la [[Kiajemi]] ''*počaw'' kutoka [[Kiproto-Kihindi-Kizungu]] ''*peku-'' linalomaanisha "ng’ombe". Jina la Kifini poro pia linaweza kumaanisha "mchota-theluji" kwa tabia yake ya kuchota kupitia theluji ili kupata chakula. Kwa [[Kiinuktitut]] (lugha ya Kieskimo), karibuu (kulungu aktiki) anajulikana kwa jina la ''tuktu'', kwa [[Kigrinlandi]] ''tuttu''. Na kwa [[Kikrii-Montagnais-Naskapi]] karibuu anaitwa ''atihkw''.
 
{{mbegu-mnyama}}
{{Artiodactyla|R.1}}
 
[[Jamii:Ng'ombe na jamaa]]