Johannes Gutenberg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
taipu
taipu
Mstari 24:
Mavumbuzi hivi vyote vilianzisha mapinduzi ya teknolojia na utamaduni. Vitabu vilianza kupatikana haraka kuliko awali. Bei ya vitabu ilishuka. Baada ya kuongezeka kwa vitabu watu wengi zaidi walianza kusoma. Shule zilienea kushinda zamani.
 
Teknolojia ya Gutenberg iliwezesha harakati ya [[matengenezo ya kiprotestanti]] iliyoanza na [[Martin Luther]] mwaka [[1517]]. Maandiko ya Luther yalisambaa haraka kote Ulaya. Maandiko ya wafuasi na wapinzani wake yalifuata. Watu wengi walishiriki na kufuatilia habari hizi.
 
Gutenberg amehesabiwa kati ya watu 100 wa istoria ya dunia waliokuwa na athira kubwa. Gazeti la Newsweek alimteua kama "Mtu wa milenia 1000-2000".