Kalenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza ro:Calendar
nyongeza
Mstari 21:
=== Kilimo na mwanzo wa Kalenda ===
Inaaminika ya kwamba tangu kuanza kilimo watu wameanza pia kushika kumbukumbu ya wakati. Katika nchi nyingi kupanda na kuvuna kunategemea mwendo wa majira yanayorudia. Kazi ya pamoja inahitaji mpangilio na lugha ya pamoja. Hapa ni mwanzo wa kalenda.
 
=== Kalenda za Kisasa ===
Hata leo hii kuna kalenda mbalimbali zinazotumiwa duniani. Kalenda inayotumiwa zaidi kimataifa ni [[kalenda ya Gregori]] inayohesabu miaka [[baada ya Kristo|tangu Kristo kuzaliwa]]. Kalenda hii imepokea muundo wake kutoka [[Kalenda ya Juliasi|kalenda ya Roma ya Kale]] hasa miezi na idadi ya siku zao.
 
Kalenda nyingine inayotumiwa katika nchi kadhaa ni [[kalenda ya Kiislamu]] inayohesabu miaka tangu [[hijra]] ya Muhamad; kalenda hii hutumiwa na Wasilamu wote kwa kukadiria sikukuu zao hata wakitumia menginevyo kalenda ya Gregori.
 
Kalneda nyingine ni kalenda kama ile ya Kichina, ya Kihindi na kadhalika zinazotumiwa kwa makadirio ya sikukuu katika dini au utamaduni wao lakini kwa maisha ya kawaida watu wengi wanatumia kalenda ya Gregori.
 
Nchi kadhaa huwa pia na namna ya pekee za kalenda kwa mfano Ethiopia hufuata kalenda yake inayohesabu tangu kuzaliwa kwake Kristo lakini kwa tofauti ya hesabu ya miaka 7 na miezi 3; ina miezi 13. Kalenda ya Uajemi huhesabu miaka tangu hijra lakini tofauti na Waislamu wengi hutumia [[mwaka wa jua]] si [[mwaka wa mwezi]] kwa hiyo kuna tofauti ya takriban miaka 40 hivi.
 
==Wiki==
Hesabu ya [[wiki]] haifuati kalenda ni kipindi cha siku 7 kinachorudia mfululizo bila kujali mwisho au mwanzo wa mwaka. Asili yake iko katika Mashariki ya Kati hasa Babeli ikasambazwa kupitia imani ya [[Uyahudi]] na [[Ukristo]]. Inaanza kwa siku ya Jumapili inayotazamiwa kidini kama siku ya kwanza ya uumbaji wa dunia na kwa wakristo pia siku ya ufufuo wa Yesu unaotazamiwa kama uumbaji wa pili. Kwa kusudi la kupanga maisha na hasa kazi wiki za mwaka zinahesabiwa kuanzia 1 - 52; hapo wiki ya kwanza na wiki ya mwisho kwa kawaida si kamili kwa sababu siku kadhaa zimo katika mwaka uliotangulia au kufuata. Tangu kuenea desturi ya [[wikendi]] yaani mapumziko ambako wengi hawafanyi kazi siku za Jumapili na Jumamosi kalenda nyingi huonyesha siku ya kwanza ya wiki ambayo ni Jumatatu kama chanzo cha wiki ya kazi.
 
== Tazama pia ==