Koreshi Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<small><sub>Kwa watu wengine wenye jina la Koreshi, Cyrus, Kyros tazama [[Koreshi]]</sub></small>
[[File:Pasargades cyrus cropped.jpg|thumb|196px|Kaburi la Koreshi Mkuu huko Pasargadae]]
 
'''Koreshi Mkuu''' ([[aj.]] کوروش بزرگ ''kurosh-e bozorg'', lt. '''Cyrus''', ~ [[590 KK]] au [[576 KK]] — Agosti [[530 KK]]), pia '''Koreshi II wa Uajemi''' alikuwa mwanzilishaji wa [[nasaba ya Akhameni]] katika [[Uajemi ya Kale]]. Aliunganisha kwanza maeneo ya nyanda za juu za [[Uajemi]] akaendelea kutwaa mamlaka juu ya madola yote yaliyokuwepo katika [[Asia Magharibi]] akatawala milki kubwa kuanzia pwani za [[Ugiriki]] katika Ulaya hadi [[mto Indus]] katika Uhindi na [[Yerusalemu]] upande wa kusini.
 
==Vyanzo==
Line 18 ⟶ 19:
Mwaka [[559 KK]] Koreshi alimfuata babake kama mtawala wa kieneo. Harpagus aliwasiliana naye na kumchochea hadi Koreshi aliasi dhidi ya mfalme Astyages mwaka [[553 KK]]. Baada ya vita ya miaka 3 mfalme alishindwa [[550 KK]], Koreshi akawa mfalme wa Umedi na Uajemi.
 
Koreshi alimwoa mke kwa jina Kassandane aliyetoka katika kabila lake. Walizaa watoto wanne kati yao [[Kambisi II]] aliyemfuata baba baadaye na binti Atossa aliyekuwa mama wa mjukuu wake [[Xerxes I]]. Kassandane alipokufa mapema KoreishiKoreshi alionyesha huzuni kuwa sana. Kufuatana na taarifa kadhaa alimwoa baadaye mke kutoka kwa Wamedi.
[[Picha:Median Empire.jpg|thumbnail|350px|Milki ya Umedi kabla ya kutwaliwa na Koreshi Mkuu]]
 
==Mfalme wa Uajemi na Umedi==
Wataalamu wa historia wanatofautiana kuhusu taarifa ya Herodoti katika vipengele mbalimbali. Lakini picha inakubaliwa kuwa anguko la mfalme Astyages wa Umedi lilisababishwa na uasi wa sehemu za jeshi lake -labda chini ya Harpagus- pamoja na uasi wa Waajemi walioongozwa na Koreshi.
Line 28 ⟶ 29:
 
==Upanuzi hadi Lydia==
[[Lydia]] ilikuwa milki katika magharibi ya [[Anatolia]] iliyokuwa maarufu wakati ule kutokana na utajiri wa mfalme wake [[Kroiso]]. Kroiso alikuwa alishiriki na Wamedi dada yake Aryenis alikuwa mke wa mfalme Astyages wa Umedi.
 
Hivyo akafanya vita dhidi ya watawala wengi wasiotaka kumkubali; alianza katika Anatolia ya mashariki alipovamia Urartu, akaendelea hadi miji ya Wagiriki katika Anatolia ya magharibi. Hadi mwaka [[540 KK]] aliwashinda na kuwaweka chini ya mamlaka yake.
Tangu mwaka 550 KK Kroiso alikuwa na jirani mpya Uajemi. Kufuatana na taarifa ya [[Herodoti]] aliona milki ya Koreshi kama tishio. Alitaka kulipiza kisasi kwa anguko la shemeji wake Astyages akaona pia nafasi ya kupanusha milki yake kwenye maeneo ya Uajemi. Kroiso aliuliza [[mizimuni ya Delfi]] kuhusu mipango yake. Hapa alipata jibu maarufu "Ukivuka Halys mto wa mpakani utaharibu milki kubwa" - kumbe aliona baadaye ya kwamba milki iliyoharibiwa ilikuwa milki yake mwenyewe.
 
Kabla ya kuondoka vitani alipatana pia na majirani hasa [[Sparta]] katika Ugiriki, [[Farao]] [[Amasis II]] wa Misri na mfalme [[Nabonidi]] wa Babeli. Pamoja na jeshi lake Kroiso alivuka mto Halys mwaka 542 akavamia eneo la Koreshi na kutwaa mji wa Pteria; wakazi wote waliuzwa kama watumwa. Sasa alisubiri jeshi la Koreshi.
 
Waajemi walikaribia na karibu na mji wa Pteria kulitokea mpigano mkali usiokuwa na mshindi. Waajemi walirudi nyuma kidogo na Kroiso hakutegemea tena mapigano kabla ya majira ya baridi hivyo aliagiza wanajeshi warudi kwao kwa majira baridi na mwenyewe alielekea mji mkuu wake [[Sardes]]. Alipanga kuendelea na vita baada ya miezi ya baridi akatuma nyaraka kwa wafalme walioshiriki naye wawe tayari baada ya miezi hii.
 
Lakini Koreshi alipeleka jeshi lake haraka hadi Sardes mji wa Kroiso. Kroise alituma vikosi vikubwa vya askari farasi dhidi ya waajemi; Koreshi aliyekosa askari farasi bora alikuwa aliandaa kikosi cha askari ngamia. Hapa alifuata ushauri wa jenerali Harpagus aliyejua ya kwamba farasi hawapendi harufu ya ngamia na kweli mashambulio ya askari farasi wa Lydia yalishindikana. Waajemi walizunguka mji mkuu wakashambulia wiki 2 na mwishowe kuiteka [[541 KK]].
Taarifa zinatofautiana kama mfalme Kroiso alikufa, aliuawa au kuhurumiwa wakati Waajemi waliteka mji wake.
 
Hata hivyo milki ya Koreshi iliendelea sasa hadi pwani za [[Ugiriki]] pamoja na miji ya Wagiriki upande wa Anatolia ndani ya milki yake.
 
==Uvamizi wa Babeli==
Mwaka 539 alipiga vita dhidi ya milki ya Babeli na 23 Oktoba [[539 KK]] Koreishi aliingia Babeli kama mshindi akapokea cheo cha mfalme wa Babeli.
Mfalme wa Babeli alikuwa alishirikiana na adui wa Koreshi na mfalme wa wafalme hakusita muda mrefu kumshambulia. Mwaka 540 KK alivamia eneo la [[Elamu]] mpakani wa Babeli.
 
Koreishi alitumia nafasi ya kwamba sehemu za watu na viongozi wa Babeli hawakuridhika utawala wa Nabonidi akawasilianio nao na kuwaahidi hali nafuu baada kupinduliwa kwa mfalme wao. Nabonidi alitaka kuimarisha msimamo wa watu wake akaanza kukusanya sanamu za miungu muhimu kutoka miji ya milki yake zikapelekwa Babeli. Mwaka 539 vita ilingia katika Mesopotamia yenyewe. Jeshi la Babeli ilishindwa kwenye mapigano ya Opis iliyopo kando la mto [[Hedekeli]] takriban 160 km kaskazioni ya Babeli; vikosi vya Waajemi walifika siku mbili baadaye mjini Babeli wakaingia bila upinzani na kumkamata mfalme Nabonidi.
Mwaka 539 alipiga vita dhidi ya milki ya Babeli naTar. 23 Oktoba [[539 KK]] KoreishiKoreshi aliingia Babeli kama mshindi akapokea cheo cha mfalme wa Babeli.
Mwaka uliofuata alimpa mwanawe Kambisi cheo cha mfalme wa Babeli na Koreshi mwenyewe alijiita "Mfalme wa wafalme".