Koreshi Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 45:
Mfalme wa Babeli alikuwa alishirikiana na adui wa Koreshi na mfalme wa wafalme hakusita muda mrefu kumshambulia. Mwaka 540 KK alivamia eneo la [[Elamu]] mpakani wa Babeli.
 
Koreishi alitumia nafasi ya kwamba sehemu za watu na viongozi wa Babeli hawakuridhika utawala wa Nabonidi akawasilianiokwa sababu ya mabadiliko katika utaratibu wa ibada akawasiliania nao na kuwaahidi hali nafuu baada kupinduliwa kwa mfalme wao. Nabonidi alitaka kuimarisha msimamo wa watu wake akaanza kukusanya sanamu za miungu muhimu kutoka miji ya milki yake zikapelekwa Babeli. Mwaka 539 vita ilingia katika Mesopotamia yenyewe. Jeshi la Babeli ilishindwa kwenye mapigano ya Opis iliyopo kando la mto [[Hedekeli]] takriban 160 km kaskazioni ya Babeli; vikosi vya Waajemi walifika siku mbili baadaye mjini Babeli wakaingia bila upinzani na kumkamata mfalme Nabonidi.
Tar. 23 Oktoba [[539 KK]] Koreshi aliingia Babeli kama mshindi akapokea cheo cha mfalme wa Babeli.
Mwaka uliofuata alimpa mwanawe Kambisi cheo cha mfalme wa Babeli na Koreshi mwenyewe alijiita "Mfalme wa wafalme".
 
Mara baada ya kushika utawala Koreshi alithebitisha ibada ya mungu [[Marduk]] kuwa mungu mkuu wa Babeli; majaribio ya Nabonidi ya kubadilisha ibada hii na kumweka mungu mwingine kwenye naasi ya kwanza yalikuwa sababu muhimu ya watu wake kutoridhika naye. 21 Machi 538 Koreshi alifika mbele ya sanamu ya Marduk katika hekalu kuu akashika mikono ya sanamu na hivyo kupokelewa kama mfalme wa Babeli.
 
Aliendelea kuthebitisha viongozi wengi na wakuu wa idara mbalimbali waliowahi kuwepo chini ya mfalme wa kale.
 
==Koreshi na Wayahudi==
 
==Siasa ya kidini==
 
==Uenezaji katika mashariki==
 
==kifo na urithi wa Koreshi==
 
[[Category:waliozaliwa karne ya 6 KK]]