Koreshi Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Robot: Modifying tl:Ciro ang Dakila to tl:Dakilang Ciro
No edit summary
Mstari 2:
[[File:Pasargades cyrus cropped.jpg|thumb|196px|Kaburi la Koreshi Mkuu huko Pasargadae]]
 
'''Koreshi Mkuu''' (kwa [[aj.Kiajemi]] کوروش بزرگ ''kurosh-e bozorg'', lt.kwa [[Kilatini]] '''Cyrus''', ~ [[590 KK]] au [[576 KK]] — Agosti [[530 KK]]), pia '''Koreshi II wa Uajemi''' alikuwa mwanzilishaji[[mwanzilishi]] wa [[nasaba ya Akhameni]] katika [[Uajemi ya Kale]].

Aliunganisha kwanza maeneo ya [[nyanda za juu]] za [[Uajemi]], akaendelea kutwaa [[mamlaka]] juu ya madolama[[dola]] yote yaliyokuwepo katika [[Asia Magharibi]], akatawala milki kubwa kuanzia [[pwani]] za [[Ugiriki]] katika [[Ulaya]] hadi [[mto Indus]] katika [[Uhindi]] na [[Yerusalemu]] upande wa kusini.
 
==Vyanzo==
Habari za KoreishiKoreshi II zinapatikana katika maandikomaandishi ya [[Wagiriki wa Kale]], hasa [[Herodoti]], katika maandishi kwenye majengo yaliagizwayaliyoagizwa na KoreishiKoreshi na wafuasi wake, katika bao za [[mwandiko wa kikabari]] kutoka [[Babeli]] na katika taarifa za vitabu vya [[Biblia]] kama [[Kitabu cha EzraIsaya|Isaya]], [[MamboKitabu yacha Nyakati IIEzra]], [[KitabuMambo chaya Danieli|DanieliNyakati II]] na [[Kitabu cha IsayaDanieli|IsayaDanieli]].

Habari hizihizo zinaonyesha tofauti fulanifulani, lakini wataalamu wa [[historia]] bado wanapata picha ya maisha na mafanikio yake kwa kulinganisha taarifa mbalimbali.
 
==Familia==
[[Nasaba]] ya Akhameni ilianzishwa na [[Mwajemi]] [[Akhameni]] aliyekuwa mtawala wa eneo dogo la [[Uajemi]] kusini magharibi (ingawa wakati ule hapakuwahakukuwa na "Uajemi" bado); sehemu kubwa ya nchi ilitawaliwa na [[Wamedi]] waliokuwa [[kabila]] yala Uajemi ya magharibi. Mwanawe Teispes alipanusha eneo hili hadi kushika [[Pars]] ambayo ni kiini cha Uajemi mwenyewe. Mwanawe [[Koreishi I]] akafuatwa na [[Kambisi I]] aliyekuwa baba wa Koreishi II anayejulikana kama Koreishi Mkuu.
 
Mwanawe [[Teispes]] alipanua eneo hilo hadi kushika [[Pars]] ambayo ni kiini cha Uajemi wenyewe.
Hadi hapa watawala hao walisimamia maeneo madogo wakipaswa kutii mabwana wao hasa Wamedi. Koreshi Mkuu aliasi dhidi ya bwana wake na kutwaa utawala wa milki ya [[Umedi]] akaendelea kutwaa nchi jirani.
 
Mwanawe [[Koreshi I]] akafuatwa na [[Kambisi I]] aliyekuwa baba wa Koreshi II anayejulikana kama Koreshi Mkuu.
 
Hadi hapo watawala hao walisimamia maeneo madogo wakipaswa kutii mabwana wao hasa Wamedi.
 
Hadi hapa watawala hao walisimamia maeneo madogo wakipaswa kutii mabwana wao hasa Wamedi. Koreshi Mkuu aliasi dhidi yaalimuasi bwana wake na kutwaa utawala wa milki ya [[Umedi]] akaendelea kutwaa nchi jirani.
 
==Taarifa ya Herodoti juu ya kuzaliwa na maisha yake==
Mwandishi[[Mwanahistoria]] Mgiriki [[Herodoti]] anasimulia ya kwamba wazazi wa Koreshi walikuwa [[Kambisi I]] na [[Mandane]], [[binti]] wa [[mfalme]] [[Astyages]] wa Umedi. Baadaye mfalme Astyages alikuwa na [[ndoto]] iliyomwambia ya kwamba mjukuu wake atakuwa hatari kwake. Kwa hiyo alimtuma [[jenerali]] yake [[Harpagus]] kumwua mtoto wa binti yake na huyu mtoto alikuwa KoreishiKoreshi. Lakini jenerali Harpagus hakutaka kumwaga [[damu]] ya kifalme akamtwaa mtoto na kumpa [[mchungaji]] mmoja wa [[kondoo]] aliyemzaa wakati huohuo mtoto aliyekufa mara moja. Mchungaji alimpokea KoreishiKoreshi akamlea na Hapagus alimwonyesha mfalme [[maiti]] ya [[mtoto mchanga]].
 
Koreshi alipofikia umri wa miaka 10 alitambuliwa kama mtoto wa kifalme. Astyages aliamua kumhurumia sasa, akamtuma kwa wazazi wake. Lakini jenerali Harpagus aliadhibiwa vikali kwa sababu alimwalika kwa [[chakula]] katika [[ikulu]] yakelake na kwa [[siri]] aliamuru kumwua mtoto wake Harpagus, kumpika, kumkatakata na kumweka mezani ili Harpagus ale. Hivyo jenerali alikuwa adui wa mfalme.
 
Mwaka [[559 KK]] Koreshi alimfuata babake kama mtawala wa kieneo. Harpagus aliwasiliana naye na kumchochea hadi Koreshi aliasi dhidi ya mfalme Astyages mwaka [[553 KK]]. Baada ya vita yavya miaka 3 mfalme alishindwa [[550 KK]], Koreshi akawa mfalme wa Umedi na Uajemi.
 
Koreshi alimwoaalioa [[mke]] kwa jina [[Kassandane]] aliyetoka katika kabila lake. Walizaa watoto wanne, kati yao [[Kambisi II]] aliyemfuata baba baadaye na binti [[Atossa]] aliyekuwa mama wa mjukuu wake [[Xerxes I]]. Kassandane alipokufa mapema Koreshi alionyesha [[huzuni]] kuwakubwa sana. Kufuatana na taarifa kadhaa alimwoaalioa baadaye mke kutoka kwa Wamedi.
[[Picha:Median Empire.jpg|thumbnail|350px|Milki ya Umedi kabla ya kutwaliwa na Koreshi Mkuu]]
 
==Mfalme wa Uajemi na Umedi==
Wataalamu wa historia wanatofautiana kuhusu taarifa ya Herodoti katika vipengele mbalimbali. Lakini picha inakubaliwa kuwa anguko la mfalme Astyages wa Umedi lilisababishwa na uasi wa sehemu za jeshi lake -labda chini ya Harpagus- pamoja na uasi wa Waajemi walioongozwa na Koreshi.
 
Baada ya ushindi wake KoreishiKoreshi alipokea pia cheo cha kifalme cha Umedi lakini rasmi alijiita "mfalme wa Waajemi". Kutokana na mamlaka yake mpya aliweza kudai pia kipaumbele kati ya viongozi wengine katiakatika Uajemi. Mjomba wake Arsames aliyekuwa mfalme wa mji wa Parsa chini ya Wamedi akawa gavana wa Parsa chini ya Koreshi.
 
[[Mjomba]] wake Arsames aliyekuwa mfalme wa mji wa Parsa chini ya Wamedi akawa gavana wa Parsa chini ya Koreshi.

Koreshi aliendelea kutumia [[Ekbatana]], [[mji mkuu]] wa Wamedi, kama [[makao makuu]] wakati wa miezi ya [[joto]]. Kwa majira ya [[baridi]] alijenga mji mkuu mpya [[Pasargadi]] katika Pars.

Akitumia cheo cha "Mfalme wa Uajemi na Medi" akaendelea kudai [[utii]] kutoka wakubwa wote Wamedi.
 
==Upanuzi hadi Lydia==
[[Lydia]] ilikuwa milki katika magharibi ya [[Anatolia]] iliyokuwa maarufu wakati ule kutokana na [[utajiri]] wa mfalme wake [[Kroiso]]. Kroiso alikuwa alishiriki na Wamedi dada yake Aryenis alikuwa mke wa mfalme Astyages wa Umedi.
 
Tangu mwaka [[550 KK]] Kroiso alikuwa na jirani mpya Uajemi. Kufuatana na taarifa ya [[Herodoti]] aliona milki ya Koreshi kama tishio. Alitaka kulipiza kisasi kwa anguko la shemeji wake Astyages akaona pia nafasi ya kupanusha milki yake kwenye maeneo ya Uajemi. Kroiso aliuliza [[mizimuni ya Delfi]] kuhusu mipango yake. Hapa alipata jibu maarufu "Ukivuka Halys mto wa mpakani utaharibu milki kubwa" - kumbe aliona baadaye ya kwamba milki iliyoharibiwa ilikuwa milki yake mwenyewe.
 
Alitaka kulipiza [[kisasi]] kwa anguko la shemeji wake Astyages, akaona pia nafasi ya kupanua milki yake kwenye maeneo ya Uajemi. Kroiso aliuliza [[mizimu ya Delfi]] kuhusu mipango yake. Hapo alipata jibu maarufu "Ukivuka Halys, mto wa mpakani, utaharibu milki kubwa" - kumbe aliona baadaye ya kwamba milki iliyoharibiwa ilikuwa milki yake mwenyewe.
Kabla ya kuondoka vitani alipatana pia na majirani hasa [[Sparta]] katika Ugiriki, [[Farao]] [[Amasis II]] wa Misri na mfalme [[Nabonidi]] wa Babeli. Pamoja na jeshi lake Kroiso alivuka mto Halys mwaka 542 akavamia eneo la Koreshi na kutwaa mji wa Pteria; wakazi wote waliuzwa kama watumwa. Sasa alisubiri jeshi la Koreshi.
 
Kabla ya kuondoka vitani alipatana pia na majirani, hasa [[Sparta]] katika Ugiriki, [[Farao]] [[Amasis II]] wa [[Misri]] na mfalme [[Nabonidi]] wa Babeli. Pamoja na jeshi lake Kroiso alivuka mto Halys mwaka [[542 KK]] akavamia eneo la Koreshi na kutwaa mji wa [[Pteria]]; wakazi wote waliuzwa kama [[watumwa]]. Sasa alisubiri [[jeshi]] la Koreshi.
Waajemi walikaribia na karibu na mji wa Pteria kulitokea mpigano mkali usiokuwa na mshindi. Waajemi walirudi nyuma kidogo na Kroiso hakutegemea tena mapigano kabla ya majira ya baridi hivyo aliagiza wanajeshi warudi kwao kwa majira baridi na mwenyewe alielekea mji mkuu wake [[Sardes]]. Alipanga kuendelea na vita baada ya miezi ya baridi akatuma nyaraka kwa wafalme walioshiriki naye wawe tayari baada ya miezi hii.
 
Waajemi walikaribia na karibu na mji wa Pteria na kulitokea mpiganomapigano mkalimakali usiokuwayasiyokuwa na [[mshindi]]. Waajemi walirudi nyuma kidogo na Kroiso hakutegemea tena mapigano kabla ya majira ya baridi hivyo aliagiza wanajeshi warudi kwao kwa majira ya baridi na mwenyewe alielekea mji mkuu wake [[Sardes]]. Alipanga kuendelea na vita baada ya miezi ya baridi akatuma [[nyaraka]] kwa wafalme walioshirikiwalioshirikiana naye wawe tayari baada ya miezi hiihiyo.
Lakini Koreshi alipeleka jeshi lake haraka hadi Sardes mji wa Kroiso. Kroise alituma vikosi vikubwa vya askari farasi dhidi ya waajemi; Koreshi aliyekosa askari farasi bora alikuwa aliandaa kikosi cha askari ngamia. Hapa alifuata ushauri wa jenerali Harpagus aliyejua ya kwamba farasi hawapendi harufu ya ngamia na kweli mashambulio ya askari farasi wa Lydia yalishindikana. Waajemi walizunguka mji mkuu wakashambulia wiki 2 na mwishowe kuiteka [[541 KK]].
 
Taarifa zinatofautiana kama mfalme Kroiso alikufa, aliuawa au kuhurumiwa wakati Waajemi waliteka mji wake.
Lakini Koreshi alipeleka jeshi lake haraka hadi Sardes, mji mkuu wa Kroiso. KroiseKroiso alituma vikosi vikubwa vya [[askari farasi]] dhidi ya waajemi;Waajemi. Koreshi aliyekosa askari farasi bora alikuwa aliandaaameandaa kikosi cha [[askari ngamia]]. Hapa alifuata ushauri wa jenerali Harpagus aliyejua ya kwamba farasi hawapendi harufu ya ngamia, na kweli mashambulio ya askari farasi wa Lydia yalishindikana. Waajemi walizunguka mji mkuu wakashambuliawakaushambulia wiki 2 na mwishowe kuitekakuuteka [[541 KK]].
 
Taarifa zinatofautiana kama mfalme Kroiso alikufa, aliuawa au kuhurumiwa wakati Waajemi walitekawalipoteka mji wake.
 
Hata hivyo milki ya Koreshi iliendelea sasa hadi pwani za [[Ugiriki]] pamoja na miji ya Wagiriki upande wa Anatolia ndani ya milki yake.
 
==Uvamizi wa Babeli==
Mfalme wa Babeli alikuwa alishirikiana na adui wa Koreshi na [[mfalme wa wafalme]] hakusita muda mrefu kumshambulia. Mwaka [[540 KK]] alivamia eneo la [[Elamu]] mpakani wakwa Babeli.
 
KoreishiKoreshi alitumia nafasi ya kwamba sehemu za watu na viongozi wa Babeli hawakuridhika na utawala wa Nabonidi kwa sababu ya mabadiliko katika utaratibu wa [[ibada]], akawasilianiaakawasiliana nao na kuwaahidikuwaahidia hali nafuu baada ya kupinduliwa kwa mfalme wao. Nabonidi alitaka kuimarisha msimamo wa watu wake akaanza kukusanya [[sanamu]] za [[miungu]] muhimu kutoka miji ya milki yake zikapelekwa Babeli.

Mwaka [[539 KK]] vita ilingiaviliingia katika [[Mesopotamia]] yenyewe. Jeshi la Babeli ilishindwalilishindwa kwenye mapigano ya [[Opis]] iliyopo kando laya mto [[Hedekeli]] takriban 160 km kaskazionikaskazini yakwa Babeli; vikosi vya Waajemi walifika siku mbili baadaye mjini Babeli wakaingia bila upinzani na kumkamata mfalme Nabonidi. Tarehe [[23 Oktoba]] Koreshi aliingia Babeli kama mshindi akapokea cheo cha mfalme wa Babeli.
Tar. 23 Oktoba [[539 KK]] Koreshi aliingia Babeli kama mshindi akapokea cheo cha mfalme wa Babeli.
Mwaka uliofuata alimpa mwanawe Kambisi cheo cha mfalme wa Babeli na Koreshi mwenyewe alijiita "Mfalme wa wafalme".
 
Mara baada ya kushika utawala Koreshi alithebitishaalithibitisha ibada ya mungu [[Marduk]] kuwa [[mungu mkuu]] wa Babeli; majaribio ya Nabonidi ya kubadilisha ibada hii na kumweka [[mungu]] mwingine kwenye naasinafasi ya kwanza yalikuwa sababu muhimu ya watu wake kutoridhika naye.

Tarehe [[21 Machi]] [[538 KK]] Koreshi alifika mbele ya sanamu ya Marduk katika hekalu kuu akashika mikono ya sanamu na hivyo kupokelewa kama mfalme wa Babeli.
 
Aliendelea kuthebitishakuthIbitisha viongozi wengi na wakuu wa [[idara]] mbalimbali waliowahi kuwepo chini ya mfalme wa kale.
 
==Koreshi na Wayahudi==
Line 60 ⟶ 81:
==Uenezaji katika mashariki==
 
==kifoKifo na urithi wa Koreshi==
 
[[Category:waliozaliwa karne ya 6 KK]]
Line 66 ⟶ 87:
 
[[Category:Uajemi]]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
 
{{Link FA|de}}