Isa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imebadilisha: ru:Иса ибн Марйам |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Isa''' ni umbo la jina [[Yesu]] katika [[Qurani]] na pia katika lugha mbalimbali zinazoathiriwa na [[Uislamu]].
Ukurasa huu unahusu imani ya [[Uislamu]] kumhusu [[Yesu]] kadiri ya Kurani. Ingawa Waislamu wanakiri pia vitabu vitakatifu vya [[Torati]], [[Kitabu cha Zaburi|Zaburi]] na [[Injili]], katika ibada wanatumia Kurani tu na kwa kawaida ndiyo chanzo chao cha habari juu ya watu na matukio ya kabla yake.
|