Hekalu la Yerusalemu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza ta:எருசலேம் கோவில் |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Jerusalem Ugglan 1.jpg|thumb|300px|Uchoraji wa Hekalu ya Kwanza]]
'''Hekalu la Yerusalemu''' lilikuwa kitovu cha [[ibada]] za [[dini]] ya [[Uyahudi]] wakati wa [[Israeli ya Kale]].
Kwa jumla kulikuwa na majengo mawili yaliyofuatana kwenye [[mlima]] wa [[hekalu]] [[mji]]ni [[Yerusalemu]].
Mstari 6:
[[Imani]] ya Kiyahudi inategemea kujengwa kwa hekalu la tatu pamoja na kuja kwa [[Masiya]] wakati ujao.
Katika imani hiyo sehemu ya [[Patakatifu pa Patakatifu]] ndani ya hekalu
== Hekalu la kwanza ==
Hekalu la kwanza lilijengwa na mfalme [[Suleimani]] kuanzia mwaka [[957 KK]]. Hekalu hilo lilichukua nafasi ya [[hema ya kukutania]] iliyotunza [[vifaa vya ibada]] za Kiyahudi tangu siku za kale (iliaminiwa tangu [[Musa]]).
Hata hivyo kuna taarifa, hasa katika sehemu za zamani za [[Biblia]], kuhusu ibada kwenye "mahali pa juu" (yaani juu ya milima na vilima) zilizolaumiwa baadaye kama ishara ya [[imani potofu
Hekalu hilo la Suleimani lilibomolewa mwaka [[587 KK]] wakati mfalme [[Nebukadreza II]] wa [[Babeli]] alipovamia Yerusalemu na kuharibu mji mzima.
== Hekalu la
Baada ya ushindi wa [[Waajemi]] juu ya Babeli (mwaka [[539 KK]]) mfalme [[Koreshi Mkuu]] aliwaruhusu [[Wayahudi]] kujenga upya hekalu.
Katika Biblia, [[
Ujenzi ulifuata mpango wa hekalu la kwanza na ulifanyika mahali palepale Yerusalemu kwenye "mlima wa hekalu".
Mstari 28:
Hekalu liliharamishwa na mfalme [[Antioko IV]] mwaka [[169 KK]] alipoweka hapa [[sanamu]] ya mungu wa Kigiriki [[Zeus]].
Hatua hiyo ilisababisha upinzani wa [[Wamakabayo]] waliorudisha ibada ya Kiyahudi hekaluni na hadi leo sherehe ya [[Hanuka]] inakumbusha kutakaswa kwa hekalu mwaka [[167 KK]].
=== Matengenezo chini ya Herode ===
Mnamo mwaka [[21 KK]] mfalme [[Herode Mkuu]] aliamuru matengenezo ya hekalu.
Wataalamu wengi huona ya kwamba matengenezo yalifanana na ujenzi mpya wa hekalu kwa jinsi lililopambwa na kuongezeka.
Kwa kawaida hekalu linalotajwa katika [[Agano Jipya]] ni hilo la Herode.
[[Picha:Sack of jerusalem.JPG|thumb|300px|Wanajeshi Waroma wakibeba kinara cha mishumaa na vifaa vingine kutoka Hekalu la Yerusalemu baada ya huliharibu mwaka 70]]
Mwaka [[70]] jeshi la [[Dola la Roma]] lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu. ▼
==Mwisho wa hekalu==
Kuta za msingi zilibaki na ukuta mkubwa wa magharibi unasimama hadi leo, ukijulikana kama [[Ukuta wa Maombolezo]] wa Wayahudi.▼
▲Mwaka [[70]] jeshi la [[Dola la Roma]] lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu, tarehe ileile lilipobomolewa mara ya kwanza.
▲Kuta za msingi tu zilibaki na ukuta mkubwa wa magharibi unasimama hadi leo, ukijulikana kama [[Ukuta wa Maombolezo]]
== Baada ya kuharibika kwa hekalu ==
Line 46 ⟶ 48:
Mara mbili kulitokea majaribio ya kujenga tena hekalu la Kiyahudi: mara ya kwanza chini ya [[Kaisari]] [[Julian Apostata]], na mara ya pili wakati wa uvamizi wa [[Uajemi]] kwenye [[vita]] dhidi ya [[Bizanti]] mnamo [[614]] lakini majaribio yote yalishindikana.
[[Waislamu]] walipovamia Yerusalemu walikuta mlima wa hekalu kama mahali pa maghofu tu wakajenga
[[Jamii:Yerusalemu]]
|