Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.8) (Roboti: Imebadilisha: es:Dar es-Salam
No edit summary
Mstari 2:
|jina_rasmi = Dar es Salaam
|picha_ya_satelite = Dar es Salaam before dusk.jpg
|maelezo_ya_picha = MjiniJiji la Dar es Salaam inavyoonekanakama linavyoonekana kutoka Mafuta House
|picha_ya_bendera =
|ukubwa_ya_bendera = 100px
Mstari 22:
|longd=39 |longm=17 |longs= |longEW=E|coordinates_display=d
}}
'''Dar es Salaam''' ni [[jiji]] kubwa kuliko yote nchini [[Tanzania]]. NiPia piani jina la [[Mkoa wa Dar es Salaam]]. Hali halisi ni piaNi [[mji mkuu]] wa Tanzaniakibiashara hatawa kamaTanzania wakati [[Dodoma]] imetangazwani kuwamakao mjimakuu mkuuya Tanzania tangu mwaka [[1973]]. LakiniMpango ofisiwa yakuhamisha raisserikali nakwenda wizaramakao nyingimakuu mjini Dodoma bado zinafanyaunaendelea kazijapokuwa Darbado esofisi Salaamnyingi ambayoza haliserikali halisiikiwa ni makaopamoja makuuna yaIkulu serikalizipo Dar es Saalaam.
 
== Historia ==
{{main|Historia na Maendeleo ya MjiJiji wala Dar es Salaam}}
Jiji hili zamani liliitwa [[Mzizima]]. [[Sultani]] [[Seyyid Majid]] wa [[Zanzibar]] ndiye aliyelipa jiji hili jina "Dar es Salaam" linalotokalinalotokana kwenyena lugha ya [[Kiarabu]] '''دار السلام''' (''Dār as-Salām'') lenye kumaanisha "nyumba ya amani." Maelezo yanayopatikana mara nyingi kuwa maana ni "bandari ya salama" yachanganya maneno mawili yanayofanana katika Kiarabu yaani "dar" (=nyumba) na "bandar" (=bandari).
 
Dar es Salaam ilichaguliwa na wakoloni [[Ujerumani|Wajerumani]] kuwa [[mji mkuu]] wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] kwa sababu ya [[bandari asilia]] kwenyeyenye mdomo pana ya [[mto Kurasini]]. Kuanzia 1891 Dar es Salaam ilichukua nafasi ya [[Bagamoyo]] kama makao makuu ya utawala. Bandari pamoja na ujenzi wa [[reli ya kati]] kwenda [[Kigoma]] tangu 1904 ziliimarisha nafasi ya mji ulioendelea kama mji mkuu baada ya Tanzania bara kuwa koloni ya [[Tanganyika]] chini ya [[Uingereza]].
 
== Wakazi na uchumi ==