Mwanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: de:Mwanga, en:Mwanga
No edit summary
Mstari 5:
*jina kwa mahali kama vile
 
**[[Mwanga (mji)]] ni miongoni mwa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro ambayo ni ya pili kwa ukubwa ikitanguliwa na wilaya wa Same. Nusu ya wilaya hii ni tambarare ambapo wakazi wake ni kiabila wa Wapare. Inapatikana Kaskazini mwa Same na Kusini mwa wilaya ya Moshi Vijijini. Bwawa linalozalisha umeme la Nyumba ya Mungu linapatika wilayani Mwanga. Ni moja ya wilaya zenye mafanikio makubwa katika sekta ya elimu nchini. Tangu mwaka 1995 hadi 2012 wilaya ya Mwanga imekuwaikishika nafasi kati ya ya kwanza au ya pili.
**[[Mwanga (mji)]] ni mji mdogo na kata ya Wilaya ya Mwanga
**[[Wilaya ya Mwanga]] katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]]
**[[Mwanga (Iramba)]] - kata ya [[wilaya ya Iramba]], [[Tanzania]]