Mwanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mwanga''' inaweza kumaanisha
 
*[[neno]] lingine kwa [[nuru]]
 
*[[jina]] kwala [[mahali]] kama vile
 
**[[Mwanga (mji)]] ni miongoni mwa [[wilaya]] za [[mkoa wa Kilimanjaro]] ambayo ni ya pili kwa ukubwa ikitanguliwa na [[wilaya ya Same]]. Nusu ya wilaya hii ni [[tambarare]] ambapo wakazi wake ni [[kabila]] la [[Wapare]]. Inapatikana Kaskazini mwa Same na Kusini mwa [[wilaya ya Moshi Vijijini]]. [[Bwawa linalozalisha umeme]] la [[Nyumba ya Mungu]] linapatikalinalozalisha [[umeme]] linapatikana wilayani Mwanga. Ni moja ya wilaya zenye mafanikio makubwa katika [[sekta]] ya [[elimu]] nchini. Tangu mwaka [[1995]] hadi [[2012]] wilaya ya Mwanga imekuwa ikishika nafasi kati ya ya kwanza au ya pili, kati ya wilaya saba za mkoa wa Kilimanjaro.
 
Wilaya zinginenyingine za mkoa wa Kilimanjaro ni Same, [[Moshi Mjini]], Moshi Vijijini, [[Hai]], [[Rombo]] na [[Siha]].
 
**[[Mwanga (mji)]] ni miongoni mwa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro ambayo ni ya pili kwa ukubwa ikitanguliwa na wilaya ya Same. Nusu ya wilaya hii ni tambarare ambapo wakazi wake ni kabila la Wapare. Inapatikana Kaskazini mwa Same na Kusini mwa wilaya ya Moshi Vijijini. Bwawa linalozalisha umeme la Nyumba ya Mungu linapatika wilayani Mwanga. Ni moja ya wilaya zenye mafanikio makubwa katika sekta ya elimu nchini. Tangu mwaka 1995 hadi 2012 wilaya ya Mwanga imekuwa ikishika nafasi kati ya ya kwanza au ya pili, kati ya wilaya saba za mkoa wa Kilimanjaro.
Wilaya zingine za mkoa wa Kilimanjaro ni Same, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Hai, Rombo na Siha.
**[[Wilaya ya Mwanga]] katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]]
**[[Mwanga (Iramba)]] - kata ya [[wilaya ya Iramba]], [[Tanzania]]