Ukristo wa Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upa...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:BranchesofChristianity.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
[[Image:Christ Hagia Sofia.jpg|thumb|''[[Kristo]] [[Pantocrator]]'', sehemu ya [[Deesis]] katika [[Hagia Sophia]] - [[Konstantinopolis]] ([[Istanbul]]) [[karne ya 12]].]]
'''Ukristo wa Mashariki''' ni jina linajumlishalinalojumlisha [[madhehebu]] yote ya [[Ukristo]] yaliyotokea upande wa [[mashariki]] wa [[Bahari ya Kati]] yakiwa na mielekeo tofauti na ile ya [[Kanisa la Magharibi]], ambalo linawakilisha aina ya Ukristo iliyoenea zaidi duniani pamoja na [[ustaarabu]] wa magharibi ulioathiriwa nayo.
 
Unajumlisha hasa ma[[kanisa]] ya [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]].
Mstari 24:
* [http://orthodoxchurchfathers.com/ Orthodox Church Fathers]
 
{{mbegu-Ukristo}]}
 
[[Jamii:Historia ya Kanisa]]