Injili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza tt:Инҗил
d Wikification.
Mstari 4:
Jina hilo linatumika pia kuhusu vitabu vinavyoeleza maisha na mafundisho ya [[Yesu]] kufuatana na kile cha [[Mtakatifu Marko]] ambacho kwa wataalamu wengi ndiyo Injili iliyowahi kuandikwa (65-70 B.K.)
 
Kati ya vitabu vyote vya namna hiyo, [[Ukristo]] tangu karne II unakubali vile vinne vya kwanza tu, ambavyo viliandikwa wakati wa [[Mitume]] wa Yesu]].
 
Hivyo vinashika nafasi ya kwanza katika orodha ya vitabu vya [[Agano Jipya]] kama ifuatavyo: [[Injili ya Mathayo]], [[Injili ya Marko]], [[Injili ya Luka]] na [[Injili ya Yohane]].
 
Injili tatu za kwanza zinafanana kwa kiasi kikubwa katika mpangilio, habari na maneno yenyewe, na kwa sababu hiyo zinaitwa [[Injili- Ndugu]]. Kadiri ya wataalamu wengi mfanano unatokana na kwamba Injili ya Marko ilitumiwa na waandishi wa zile nyingine.
 
Ile ya [[Mtume Yohane]] ni ya pekee na inategemea ushahidi wa Mtume ambaye alipendwa zaidi na Yesu akamfuata kiaminifu hadi msalabani.
Mstari 21:
[[Jamii:Misahafu]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Injili| ]]
 
[[af:Evangelie]]