Koreshi Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
tahajia
Mstari 77:
 
==Uenezaji katika mashariki==
Baada ya ushindi juu ya Babeli Koreshi alitawala [[Asia Ndogo]], [[Mesopotamia]] na Sahmu[[Shamu]] hadi [[Palestina]] mpakani wa [[Misri]]. Sasa aliangalia mipaka yake upande wa mashariki.
 
Uajemi inapakana upande wa mashariki na nchi za Asia ya Kati zilizokaliwa na makabila ya wahamiaji pamoja na wakazi wa oasisi penye miji au makabila makali ya milimani. Wengi wao walitumia lugha za karibu na Kiajemi. Wahamiaji hao walikuwa hatari kwa milki za nyanda za juu za Uajemi wakati ule na pia kwa milenia baadaye kwa sababu waliondoka mara kwa mara katika maisha magumu ya pori zao kutafuta utajiri wa milki za nyanda za juu. Koreshi alijaribu kupanusha mamlaka yake upande wao kwa kusudi la kuwanyamaziosha na kusimamisha mashambulio na uporaji wao katika majimbo ya mpakani.