Koreshi Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 76:
[[Picha:Persia-Cyrus2-World3.png|350px|thumbnail|right|Upanuzi wa Milki ya Uajemi wakati wa kifo cha Koreshi (njano juu ya mipaka ya kisasa),]]
==Uenezaji
Baada ya ushindi juu ya Babeli Koreshi alitawala [[Asia Ndogo]], [[Mesopotamia]] na [[Shamu]] hadi [[Palestina]] mpakani
Uajemi inapakana
Mwaka [[538 KK]] alivamia [[Baktria]] (Kaskazini
Ilhali aliweza kuunganisha sehemu ya maeneo haya na milki yake alishindwa kutawala wahamisahi wa tambarare za kaskazini mashariki. Katika mapigano katika maeneo yale aliuawa vitani mwaka [[530 KK]]. [[Kaburi]] lake
Katika utawala alifuatwa na mwanawe [[Kambisi II]]. [[Picha:Cyrus Cylinder.jpg|350px|thumbnail|left|[[Silinda ya Koreishi
==Siasa ya kidini==
Baada ya kueneza milki yake Koreshi alitawala watu wenye [[lugha]] na [[dini]] mbalimbali. Wakati wa kutwaa Babeli aliona ya kwamba mfalme
Kwa lugha ya kufanana Koreshi alitoa pia sifa za Marduk mbele ya watu wa Babeli: katika [[silinda ya Koreshi|tangazo lake baada ya kutwaa Babeli aliandika ya kwamba Marduk alimteua kuwa mfalme juu ya yote na kumbariki kila siku. <ref>"(Marduk) took under his hand Cyrus, king of the city of Anshan, and called him by his name, proclaiming him aloud for the kingship over all of everything…. Marduk, the great lord, bestowed on me as my destiny the great magnanimity of one who loves Babylon, and I every day sought him out in awe. … Marduk, the great lord, rejoiced at [my good] deeds, and he pronounced a sweet blessing over me, Cyrus, the king who fears him" tafsiri kutoka [http://www.britishmuseum.org/research/search_the_collection_database/search_object_details.aspx?objectid=327188&partid=1 The Cyrus Cylinder - The Bristish Museum homepage]</ref> Katika tangazo hili Koreshi alijivunia pia kuwa alirudisha sanamu zote za miungu kutoka ufalme wa Babeli zilizokusanywa na Nabonidi katika mji wa Babeli kwenda miji yao ya asili.▼
Katika amri ya Koreshi jinsi ilivyoripotiwa katika Kitabu cha Ezra Mungu wa Israeli anaitwa "Bwana, Mungu wa mbingu" aliyempa mfalme huyu falme zote za dunia. Kwa Wayahudi hii ilikuwa kama [[tamko la imani]] kwa Mungu wao, hivyo walimsifu Koreshi sana.
Siasa hii katika mambo ya kidini hutazamiwa kama azimio lenye hekima kwa kuonyesha stahamala kwa dini na tamaduni mbalimbali. ▼
▲Kwa lugha ya kufanana Koreshi alitoa pia sifa za Marduk mbele ya watu wa Babeli: katika [[silinda ya Koreshi|tangazo lake]] baada ya kutwaa Babeli aliandika ya kwamba Marduk alimteua kuwa mfalme juu ya yote na kumbariki kila siku. <ref>"(Marduk) took under his hand Cyrus, king of the city of Anshan, and called him by his name, proclaiming him aloud for the kingship over all of everything…. Marduk, the great lord, bestowed on me as my destiny the great magnanimity of one who loves Babylon, and I every day sought him out in awe. … Marduk, the great lord, rejoiced at [my good] deeds, and he pronounced a sweet blessing over me, Cyrus, the king who fears him" tafsiri kutoka [http://www.britishmuseum.org/research/search_the_collection_database/search_object_details.aspx?objectid=327188&partid=1 The Cyrus Cylinder - The Bristish Museum homepage]</ref>
Katika tangazo hili Koreshi alijivunia pia kuwa alirudisha sanamu zote za miungu kutoka ufalme wa Babeli zilizokusanywa na Nabonidi katika mji wa Babeli kwenda miji yao ya asili.
▲Siasa hii katika mambo ya kidini hutazamiwa kama azimio lenye [[hekima]] kwa kuonyesha stahamala kwa dini na tamaduni mbalimbali.
==Koreshi na Wayahudi==
Line 101 ⟶ 108:
Kutokana na siasa hii Wayahudi walimheshimu na kumsifu Koreshi kushinda watawala wengine nje ya taifa lao. Koreshi ni mfalme wa mataifa wa pekee anayeitwa na Biblia "[[Masiya]]" <ref>"Haya ndiyo Bwana amwambiayo Koreshi, masihi wake" Isaya 45,1</ref>
==Marejeo==
|