Sokrates : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza ilo:Socrates
kuswahilisha makosa
Mstari 1:
'''Sokrates''' ({{lang-grc|Σωκράτης|Sōkrátēs}}, 470–399 KK) alikuwa [[Ugiriki|Mgiriki]] (mtu wa [[Athens]]), [[falsafa|mwanafalsafa]]. <ref>[[Anthony Gottlieb]] alimwita shahidi na mtakatifu wa falsafa (Monk & Raphael, 2000).</ref>
Nje ya falsafa, anajulikana hasa kwa kifo chake. Alifariki kwakutokana ajili yana kunywa sumu kutokabaada mtiiliyokuwa waadhabu “hemlok”yake baada yakwa kupatikana na hatia katika mahakama ya watu wa Athens. Ilidaiwa kwamba mafunzo yake yaliingilia dini ya mji wa Athens na yalipotoshakulipotosha vijana wake. Ingawa alipewa nafasi kutoroka ili kuepukakuepukana hukumu yake na kwenda uhamishoni, Sokrates alichagua kunywa sumu hiyo kwa sababu alikuwa amekubali kwa hiari yake afuate sheria za Athens, na akaamini kwamba angalikwepa hukumu yake angaliuaibisha mkataba huo.
 
Maarifa mengi kuhusu Sokrates yametokea mazungumzo yaliyoandikwa na [[Plato]], mwanafunzi wake na mwanafalsafa, maandiko ya [[Zenephon]], mtu wa rika lake, [[Aristofanes]], na [[Aristotle]]. Kuna matatizo katika maandiko yanayomhusu Sokrates, hivyo sio vyema kutegemea chanzo kimoja tu. Ukitazama mambo yanayofanana baina ya maandiko, na ukaachilia mbali mambo yanayofikiriwa kuongezwa na mwandishi, Sokrates mwenyewe ataonekana.
 
* [[Pithagoras]]
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-mwandishi-Ulaya}}